Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
why watu mzungumzie eti ajali mara nii maana hata ikitoke kwa mpango wa mungu mtesema tulisema so chadema msichukue kampuni hiyona msisitizo wangu
Huyo Mungu anabariki uwepo wa sheria na kanuni za kufuatwa na binadamu.
Kumbuka kuwa helikopta ikianguka watakaokuwa matatani ni mamlaka iliyoruhusu iruke angani.