Sheria hairuhusu!! Unless kuwe na sababu maalum na kibali kiombwe in advance!Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Inaonekana ni swala linaloongozwa na sheria. Rubani anatakiwa asizidi miaka 65. Utatuzi ni rahisi tu. Hiyo kampuni ya State aviatian itumie rubani mwenye miaka chini ya 65 na kampeni ya mgombea uraisi iendelee.
Usizungumzie habari ya Filikunjombe ni habari nyingine ina mengi yake tukae kimya tu tumuachie MunguUmesahau waliyosema kuhusu Ajali ya Fikiri Kunjombe ati Rubani alikuwa Mzee sana?
Kwani local civil aviation authority ya Tanzania (TCAA) imeweka umri huo kuwa ni miaka mingapi? Je wameextend zaidi ya miaka hiyo 65?The International Civil Aviation Authority (ICAO) sets the maximum retirement age at 65, which the FAA has adopted. However, some local civil aviation authorities have extended that age to address a shortage of pilots in their markets.
What to Know About the Mandatory Pilot Retirement Age
.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
Sawa.
The International Civil Aviation Authority (ICAO) sets the maximum retirement age at 65, which the FAA has adopted. However, some local civil aviation authorities have extended that age to address a shortage of pilots in their markets.
What to Know About the Mandatory Pilot Retirement Age
Mkuu umefunga uzi ki-roho nzuri, safi sana.Kwani local civil aviation authority ya Tanzania (TCAA) imeweka umri huo kuwa ni miaka mingapi? Je wameextend zaidi ya miaka hiyo 65?
In Tanzania we have not yet extended that age and we don't have a shortage of pilots in our markets. Now why Chadema they did not tell the public the truth that the issue is about the age of the pilot? Poor Malalamiko FC!!The International Civil Aviation Authority (ICAO) sets the maximum retirement age at 65, which the FAA has adopted. However, some local civil aviation authorities have extended that age to address a shortage of pilots in their markets.
What to Know About the Mandatory Pilot Retirement Age
Maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, hiyo sheria ipo na inatumika miaka yote kwa nini hamkuhoji? nani kawadanganya kwamba nyie ni special sana? sio nyie kila uchao mnalalamikia uvunjwaji wa sheria na vyombo, taasisi au watu kadhaa? wakifuata na kusimamia sheria pia ni kosa? hamjui hata mnataka nini, jiandaeni na 5% ya kura zote 28 October.Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Mbona barua imeweka wazi kuwa rubani aliyekataliwa kibali ana zaidi ya 65!The International Civil Aviation Authority (ICAO) sets the maximum retirement age at 65, which the FAA has adopted. However, some local civil aviation authorities have extended that age to address a shortage of pilots in their markets.
What to Know About the Mandatory Pilot Retirement Age
Ni vizuri watuambie pia siku zote ni nani aliyekuwa anaendesha hiyo helikopter???? Kama ni rubani huyohuyo imekuwaje wamzuie sasa???
Mkuu helikopta sio daladala ni chombo cha angani kikianguka hakina majeruhi ni vifo tu.Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Ni vizuri watuambie pia siku zote ni nani aliyekuwa anaendesha hiyo helikopter???? Kama ni rubani huyohuyo imekuwaje wamzuie sasa???