Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Ahaaaa! Kwa hiyo huo utaratibu wa kutoa exemption kuhusu umri upo sasa kama upo ni kwanini TCAA jana hawakutoa exemption hiyo? Walitumia vigezo vipi kufikia hitimisho la kutotoa kibali? Tusubiri ili tujue kama wanaostahili kulaumiwa ni Chadema au TCAA walipokea maagizo toka mamlaka za juu?

Wao wanachoangalia ni pesa..ndio maana umeona wameomba exemption..

Serikali haifanyi kazi kwa makisio au kubahatisha kwamba atawaendesha tu mbona amesema anaweza.
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Isiwe taabu huyo rubani kibabu...
 
Hata Kama Ni Kufanya Siasa...
Ila HILI la Umri..CHADEMA Mlitakiwa Mlifafanue Katika MAELEZO Yenu....

Vigezo Na Masharti Kwa AJILI Ya Usalama Wa Wapandao Chombo Cha Anga Hauepukiki Kama Ilivyo Taratibu za Vyombo Vyengine.

#Ukweli Utatuweka Huru
 
Nawaza...! Kama siku za nyuma alikuwa 65 na miezi miwili, Hapo TCAA wanaweza kutumia 'common sense' kumruhusu! Lakini kama anakimbilia 70 kasoro kidogo...! Hawawezi kukubali. Ebu tufafanulie, huyo Rubani aaliyekuwa anaombewa kibali ana umri gani!?

Sheria haina "common sense" kama itaweka "common sense" hiyo siyo sheria ni batili, after all, what is common sense to you might not be common sense to me. There is no commonality in common sense.
 
Walipofanya hitimisho la umri walikuwa na sababu muhimu hasa ya kiafya na kiusalama.

Labda umesahau kama lissu ni mgombea urais na moja ya jukumu la serikali ni pamoja na kuwalinda hawa wagombea..ndio maana ukitoa ulinzi wao wana ulinzi pia wa serikali.

Kwa hiyo hata kama upo utaratibu huo lakini kuna mazingira pia.
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Ni sheria inasema hivyo, hiyo sheria ipo muda mrefu haijaanza leo
 
Liwekwe hilo hadharani na TCAA kwamba huwa wanatoa vibali kwa above 65 YO kurusha helicopters 🚁 lakini kwa kuwa Lissu ni mgombea Urais wakaamua wasitoe kibali hicho.

 
Sheria haina "common sense" kama itaweka "common sense" hiyo siyo sheria ni batili, after all, what is common sense to you might not be common sense to me. There is no commonality in common sense.
Asante kwa elimu hii!
 
We hujaelewa nini au kichwa maji? Ushaambiwa sheria na kanuni haziruhusu mtu wa umri huo kurusha chopa ulitaka wafanye tathmini ya nini sasa au ndio unajitoa akili
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
 
Liwekwe hilo hadharani na TCAA kwamba huwa wanatoa vibali kwa above 65 YO kurusha helicopters [emoji576] lakini kwa kuwa Lissu ni mgombea Urais wakaamua wasitoe kibali hicho.
Barua imefafanua..labda kama unatafuta ligi.
Ndio maana wamegusia suala la exemption.

So ni kumnusuru tu mtu wenu..ila kama mtaiambia serikali nyie mnataka tu hivyo liwalo na liwe basi mtapewa rubani wenu muendelee na utaratibu..ila sisi hatutasitisha uchaguzi. Tarehe iko pale pale.

Kisha mbowe mjanja..kwenye hiyo chopa ye alijitoa.
 
Je una hakika nchi yetu iko wapi kabla hujaanza kulialia
.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
 
Barua iliyowekwa hadharani na TCAA hatujui kama imeandika ukweli wote. Je, wana utaratibu wa kutoa vibali kwa pilots above 65 YO? Kama wanao utaratibu huo walitumia vigezo gani kutotoa vibali?

 
Hata ukisema TBC inapendelea CCM Ayubu Rioba atashupaza misuli yote 82 ya shingo kukataa! Katakata!!!
 
Weka Weka dole gumba katikati ya makalio, kisha nusa...utakachohisi puani ndio CCM ...Pwahahah
 
Muwe mnasoma kwa makini taarifa iko wazi kuwa kuna kibali cha msamaha lakini huwa kinategemea na mazingira na rubani husika lakini huyu amekataliwa....someni kwa makini
Sawa mkuu , niko makini zaidi kutafuta msosi hivi vitu wawe makini wenyewe tu 😜
 





SIDHANI KAMA LISSU YU TIMAMU NAMNA YA JPM.
TAL ALITAKIWA ABAKI KUFANYA PHYSIOTHERAPY ILI 2025 AWE FIT ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…