Hakuna dini isiyoharamisha zinaa, uwizi, kutukana nk acha uongo, Ally kuvuta sigara haimaanishi sigara sio haramu, wakristo wangapi wanazini kwani zinaa kwa mkristo ni halali?Nisamehewe!!!
But in short,imani uliyoitaja hapa msingi wake mkuu ni unafiki,nazini lakini kula nguruwe haramu,naiba ila kunywa pombe haramu,nasali lakini kutukana na kuita majina ya kuudhi asiyefanana na mimi siyo haramu.