Kwa nini atumie maudhui ya Kanisani kwenye huo wimbo wake, badala ya Msikitini? Au huyo Zuchu na jamaa yake wamekuwa Wakristo siku hizi?
Ingetokea Msanii wa imani ya Kikristo akatengeneza maudhui ya wimbo wake kwenye Msikiti wenu, mngetulia tu kirahisi na hizo nongwa zenu? Si mngepiga kelele za "Takbir" na kutishia kufanya fujo!
Halafu huwezi ukatolea mifano ya akina Joti na Masanja kwenye jambo ambalo halina uhusiano! Wale wanaigiza nyimbo, na siyo kuleta masihara kwenye imani za watu wengine.
Hivyo wakati mwingine nendeni msikitini mkafanye huo upuuzi wenu, ila siyo kwenye makanisa yasiyo wahusu.