Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wakristo tumemshtukia diamond na harakati zake za matukio kadhaa ya kuudhalilisha dini ya kikristo huku ya kwake akiiogopa,kuanzia leo si shabiki wake tena ni ant-christ.Basata wana chuki kali sana kwa Diamond wanatamani leo kesho wamshushe
Mimi mbona ni mkristo tena nasadiki kwenye kanisa moja alilofanyia hiyo video na sioni tatizo!?Hata wakristo tumemshtukia diamond na harakati zake za matukio kadhaa ya kuudhalilisha dini ya kikristo huku ya kwake akiiogopa,kuanzia leo si shabiki wake tena ni ant-christ.
Eti Juma teh teh teh!Nakufahamu wewe unaitwa Juma.
Yaani wewe siwahi kuona unachangia cha maana,kila point yako ni mabkra 7.Kituko kikuu ni cha kufikiri peponi kuna vigori 72 vya kugegeda.
Mudi alikuwa anapenda ngono sana, yani akaona awadanganye kabisa oooh mimi mtume wenu Mudi nimeambiwa na mnyazimungu tukifa basi kule peponi tutakuta mabikira 72 tutasugua sana mbususu, kwani hawa wa4 mnaowabandua tope huku earth hawawatoshi?
Kaka tukitania kuhusu Mohamed hapa si mtaandamana hadi ikulu?WAKRISTO SOMETIMES MNACHEKESHAGA SANA NA DOUBLE STANDARDS ZENU... VILE VITUKO VYA AKINA MASANJA NA ORIJINO COMEDY... NA YALE MAUNO YA NYIMBO ZENU ZA INJILI YAPO SAWA...? ILA HII YA DIAMOND INALETA UKAKASI...
Kwani asifanye uhalisia wa misikitini kwao? Kwani yeye ni mtumishi wa wakristo?Mimi Ni Mkristo nilie Batizwa. Ila Kuna Sehemu Sisi Kama Wakristo Tuna Shida. Ile Script ya Zuchu Kanisani Ni uhalisia wa Vitu ambavyo wakristo tunafanya tukiwa kanisani tena katikati ya Ibada. Mahuburi yanaendelea Unakuta mtu na Tecno yake Inaitaa kwa sauti. Mahuburi yanaendelea watu wanatoka kanisani na kuondoka kwa Madai kuwa Mahubiri ni Marefu.
Nataka nijui Ni Nani aliye lalamika huyo mkristo nimjue. Kuna Video Nyingi sana ambazo Zimeigiziwa kanisani Zikiwa mbaya Zaidi ya Hizi.
Mziki Ni Sanaaa, Sanaaa Haina Dini, Wakristo Huwa tuna Maigizo kanisani Tunafanya, Maigizo mengi huwa Yanakiuka Maadili…..
Kwa hili Diamond na Zuchu Wameonewa
Hiyo ni mission hakuna chuki kati yao, wangekua na chuki ile video zilikua hazipiti siku 3 bila kufungiwa. Shituka kiki hizo, wakiona haijabuma sana wanaweza kuvujisha video za ngono za wasanii wanaofuatiliwa zaidi ila kuhamisha mjadala.Basata wana chuki kali sana kwa Diamond wanatamani leo kesho wamshushe
Kwa hiyo hapo umejikuta unajua kufiria eeeh?😂😂Hiyo ni mission hakuna chuki kati yao, wangekua na chuki ile video zilikua hazipiti siku 3 bila kufungiwa. Shituka kiki hizo, wakiona haijabuma sana wanaweza kuvujisha video za ngono za wasanii wanaofuatiliwa zaidi ila kuhamisha mjadala.
Basata ni mother fanta tuKwani asifanye uhalisia wa misikitini kwao? Kwani yeye ni mtumishi wa wakristo?
Aliekwambia wakristo wamelalamika nani?Hayo ni mambo ya Baraza la sanaa na TCRA.WAKRISTO SOMETIMES MNACHEKESHAGA SANA NA DOUBLE STANDARDS ZENU... VILE VITUKO VYA AKINA MASANJA NA ORIJINO COMEDY... NA YALE MAUNO YA NYIMBO ZENU ZA INJILI YAPO SAWA...? ILA HII YA DIAMOND INALETA UKAKASI...
Sifirii mkuu, hiyo ni chukizo mbele za Muumba.Kwa hiyo hapo umejikuta unajua kufiria eeeh?[emoji23][emoji23]
Kwani asifanye uhalisia wa misikitini kwao? Kwani yeye ni mtumishi wa wakristo?