mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Wangeigiza madrasa ingekuwa poa, kulingana na imani yao, huku kwingine sio sawa,Wangeigiza madrasa imefanya hivo tuone kama ingefaa si wao waisilam na wanaijua dini yao why wawafedheeshe wakristo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app