TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

Kanisa lenyewe utakuta ni la Gwajiboy.....hapo mmewaonea tu.
 
Daaah Kwa mtazamo wa dini hcho kipande walikiigiza isivyo , script ipo Sawa Ila action zilizingua , kulikuwa na viashiria vya dharau kimtindo...na hawakuonyesha heshima Kwa action mle ndani ya kanisa .....!!
 
Mbona hajafanyia msikitini angefanyia Yale matendo ya shooting msikitini basi
 
Hivi Yale si yalikua mazoezi ya kwaya?..wanauhakika Kama wana kwaya hua hawapokei simu au kutoka nje wakati wa mazoezi ya kwaya!!..kazi kweli kweli
Kama mkristo hainisumbui, sijali kuhusu hayo.
Lakini Tuulizane maswali haya
Je kilichofanyika kinaleta picha gani kuhusu wakristo?
Vipi wangefanya kuhusu dini zao wenyewe yaani uislam, waislam wangechukuliaje?
Kama Ungekuwa wewe ni TCRA, hii ni content inayofaa?
 
Ka ni habari ya kweli, na kama sababu ni hiyo iliyoainishwa hapo juu... basi BASATA wako na tatizo pahala

Sidhani kama tatizo ni la Diamond ikiwa kanisa husika limetoa kibali na mibaraka tosha ya kufanya video hiyo ndani ya kanisa

Wenye imani yao wameruhusu imani yao kutumika, BASATA anaingilia vipi ikiwa yeye si msimamizi wa imani hiyo
Ulitaka wafungie kanisa?
Unaelewa maana ya kanisa? Unadhani lile Jengo ndio kanisa?
 
Basata ni wapuuzi sana wanamuwinda Diamond kila wakati. Lakini wajue hawawezi kumshusha na hawezi wapigia magoti najua hizi ni hasira za kususiwa tuzo zao zikakosa msisimko.

Wanamuziki kibao na filamu zinafanyiwa makanisani lakini miaka yote leo wamekuja kuona la Diamond.

Cha ajabu wakristo nao wanashangaa tatizo lipo wapi
Kwanini asifanye kuhusu Uislam?
Au ndio ilee....
 
BASATA mmepigwa na kitu kizito kichwani.

Yaani kufungia nyimbo ya DIAMOND ,
Mtasubiri Sana,

Huku mkiziwacha hewani nyimbo zenye maneno yenye ukakasi kama --weka mate iteleze,
-Nyoka pangoni.
-Inama kama unachota maji,

Ni kujitoa ufahamu..
 
Kituko kikuu ni cha kufikiri peponi kuna vigori 72 vya kugegeda.

Mudi alikuwa anapenda ngono sana, yani akaona awadanganye kabisa oooh mimi mtume wenu Mudi nimeambiwa na mnyazimungu tukifa basi kule peponi tutakuta mabikira 72 tutasugua sana mbususu, kwani hawa wa4 mnaowabandua tope huku earth hawawatoshi?
Hiyo pp yako sasa, ulinasa kwenye 18 za fumanizi na Mke wa Mtu nini [emoji848][emoji1]
 
Kuna nyimbo ya Rosa Lee (jina cjui ndo hvy) yupo kanisani ndani ya chumba cha kuungama anachana mistari kama hakubaliani vitu flani kuhusu Mungu.
Ila kabla ya nyimbo hiyo kuanza, yanaanza maneno ya kuonyesha kuheshimu dini ya kikristo.
Hii bila shaka, Basata na TCRA hawajaifumania.
 
Hivi Yale si yalikua mazoezi ya kwaya?..wanauhakika Kama wana kwaya hua hawapokei simu au kutoka nje wakati wa mazoezi ya kwaya!!..kazi kweli kweli
TCRA inataka kujishushia hadhi hapo, mbona ni jambo la kawaida tu siku hizi watu kuchepuka ili kwenda kuongea na simu??!!?? kwenye mazishi watu hufanya hivyo, kwenye ibada watu hufanya hivyo, n.k,n.k. kuna kitu nyuma ya pazia hapo
 
Basata ni wapuuzi sana wanamuwinda Diamond kila wakati. Lakini wajue hawawezi kumshusha na hawezi wapigia magoti najua hizi ni hasira za kususiwa tuzo zao zikakosa msisimko.

Wanamuziki kibao na filamu zinafanyiwa makanisani lakini miaka yote leo wamekuja kuona la Diamond.

Cha ajabu wakristo nao wanashangaa tatizo lipo wapi
Tcra this time. Jaman uhuru Wetu upo wapi. Hkna maudhui yanayoudhi ni vitu vya kawaida Kabsa. LKn labda wafia dini wameungana kwwnye hilo, ila kuna video nyingi zinafanyika makanisan mbna
 
Ka ni habari ya kweli, na kama sababu ni hiyo iliyoainishwa hapo juu... basi BASATA wako na tatizo pahala

Sidhani kama tatizo ni la Diamond ikiwa kanisa husika limetoa kibali na mibaraka tosha ya kufanya video hiyo ndani ya kanisa

Wenye imani yao wameruhusu imani yao kutumika, BASATA anaingilia vipi ikiwa yeye si msimamizi wa imani hiyo
Nenda Msikitini Leo omba kibali Cha kushoot wimbo then hiyo video ioneshe watu wanaiba kaswida alafu ikatishwe ili mtu apokee simu,
Mkuu utaona matokeo yake
 
Mbona hajafanyia msikitini angefanyia Yale matendo ya shooting msikitini basi
Kwani uko kanisani alienda tu kufanya shooting bila kufuata utaratibu?
Mulimruhusu wenyewe sasa munalalamika nini.
Msikitini asingeruhusiwa coz msikitini sio sehemu ya kufanyia Drama
 
Nahisi basata wana bifu na Mond.. mana sioni sababu ya kufungiwa hapo.. video nzuri kabisa hakuna ukakasi wwte. Naongea haya nikiwa mkristo kabisa.
 
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani.

Wimbo huo unafungiwa licha ya kuwa una mwezi mmoja tangu ulipowekwa YouTube, ukiwa umetamzwa zaidi ya mara milioni 10.2.

Kisa nini
 
Chawa wake wanalia sana huko na kusaga meno.

Anyway haifai kumpa pole ameonywa mara nyingi
Hata Kenya tu wanamhitaji kwa sana awe Kenya. Hata huko Africa magharibi,hususani Nigeria wanathamini sana vya kwao kwanza. Hata mziki wao wanausapot kwa nguvu.

Tuthamini vya kwetu na tuwe na ya kuvisapo. Tupende tusipende,tukatae tukubali Diamond kaupeleka mbali sana mziki wa bongo. Kaitangaza sana Tanzania nje ya mipaka. Lakini humu kwetu wachawi ni wengi. Hata serikalini wapo wengi tu wachawi wake. Shida ya wengi umasikini unawasumbua. Wana wivu. Kweli nimeamini UMASIKINI NA UCHAWI WANAISHI NYUMBA MOJA.

Pamoja na yote kiukweli nimeshindwa kabisa kuisaport bongo movie,wanacheza mdunguano tu wale kenge. Ndio ujue bongo fever iko vizuri mpaka nimeisapot
 
Back
Top Bottom