NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
Kama nnakuelewa hivi[emoji2]-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya [emoji48] Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.
View attachment 2131716
-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya 😈 Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.
View attachment 2131716
Mwisho unasaidia nini?Unaujua mwisho wa hiyo tamthilia?
Kama vipi tuijue kwanza mwisho wake, sio kila mwanzo wa matamanio ni lele.
Unataka uzi gani! ?Uzi tayar
Elimu-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani[emoji48] Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.
View attachment 2131716
Bado haisaidii,,hata ukiwakataza wa kwako, ,, wajirani wataangalia na huyo huyo wa jirani atamharibu wakwako.Wazazi wakataze watoto wao kuangalia hiyo tamthilia, simpo
Sheria ya Tanzania inaruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa. Kamuulize Kabudi-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani[emoji48] Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.
View attachment 2131716
Dunia imeharibika kila mahali, asipoangalia kwa tv basi atayaona mtaani au kusimuliana na wenzake.Bado haisaidii,,hata ukiwakataza wa kwako, ,, wajirani wataangalia na huyo huyo wa jirani atamharibu wakwako.
Ukishakua mzazi utanielewa sikumoja
Ngoja watoto waje?tuone kama hawataki kuangalia-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani😈 Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.
View attachment 2131716
Elimu utapata hata pesa pia.Elimu
Elimu
Elimu
Tafuta pesa achana na mambo ya watu.
Wewe utakuwa umezuiliwa na jirani yako kuangalia TV nyumbani kwake! Kama unayo!![emoji3480]kwani hiyo ndio channeli pekee-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.