Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Hapo kwenye Cosota Weka Basata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,, Basata i meant.Hapo kwenye Cosota Weka Basata
Parental control tunaijulia wapi Uswahilini huku... iyo rimoti yenyewe kutumia bado wengine hajui vizuri.Kwani King`amuzi chako hakina Parental Control settings? Yaani watoto wasiharibiwe na miziki ya hovyo iliyotapakaa kwenye Channel kibao, waje waharibiwe na Tamthilia unayoweza kuzuia wasiangalie?......
Ina maana hao kabachori waliigiza hiyo tamthilia kwa ajili ya kuharibu akili za watoto wa kitz??!-Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri.
-Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu''
-watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework
-Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni?
-Ee Mwenyezi Mungu wakumbuke watoto wa Taifa hili..! Mipango ya shetani[emoji48] Haina nafasi wala Mamlaka kwa watoto wako.
TAMTHILIA YA BONDITA IMEKATISHWA NA KIONDOLEWA TANGU JANA.Ina maana hao kabachori waliigiza hiyo tamthilia kwa ajili ya kuharibu akili za watoto wa kitz??!
TAMTHILIA YA BONDITA IMEKATISHWA NA KIONDOLEWA TANGU JANA.Kwani King`amuzi chako hakina Parental Control settings? Yaani watoto wasiharibiwe na miziki ya hovyo iliyotapakaa kwenye Channel kibao, waje waharibiwe na Tamthilia unayoweza kuzuia wasiangalie?......
POINT BADO NI ILE ILE KWAMBA KWENYE TV USIMAMIZI WA MZAZI UNAHITAJIKA, YAANI HILO LA NDOA ZA UTOTONI KWENYE BONDITA NI SUALA DOGO SANA UKILINGANISHA NA UCHAFU KWENYE MIZIKI... BUT ALL IN ALL NI KITU KIZURI KWA MALEZI YA TAIFA LA KESHO...TAMTHILIA YA BONDITA IMEKATISHWA NA KIONDOLEWA TANGU JANA.
TUNAPOSEMA YUPO MUNGU ANAYEJIBU MAOMBI...TUNAMAANISHA.