TCRA: Hatujakataza matumizi ya VPN bali ni kusajili na kutoa taarifa ya matumizi ya VPN

TCRA: Hatujakataza matumizi ya VPN bali ni kusajili na kutoa taarifa ya matumizi ya VPN

Tumeshutuka , kama mnatufunga mtufunge, sim ninunue mwenyewe , alafu tupangiane nini cha kuweka kwenye sim, why mnazidi chokoza watu na kuwapanda vichwani
 
Naombeni mnisajili
Screenshot_20231015-193803.jpg
 
Hili nalo kama BWEGE vile, unanizuiaje kutumia VPN kwa mfano? Alaaah!

Yaani kwa misingi ipi haswa nisitumie VPN?

NEPI NNAUYE tunaomba usituvuruge vichwa, wengine makomwe yetu yakivurugika tutakufwata huko TUKUTIFUE hilo bichwa lako kama KONTENA.

Lamomy

Countrywide
Wizo unakosaje kuwasha VPN ucheck style mpya za kumpagawisha bro kwa mfano??
Me nawasha VPN na atakayenifatilia naye namuwasha vilevile 🤣🤣🤣
 
Wizo unakosaje kuwasha VPN ucheck style mpya za kumpagawisha bro kwa mfano??
Me nawasha VPN na atakayenifatilia naye namuwasha vilevile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makubwaaaa!!!

Waniwache kabisaa, wanataka kutuvunjia ndoa zetu inahusuuuu!! Ebooo [emoji3166]

Pilau ziheshimiwe plizzzzzz
 
Hawana uwezo wa kumkamata mtu yoyote Bali vitisho kwa waoga. Wameshindwa kuwakamata wa tuma kwenye namba hii watamkamata nani?
Hawa jamaa hovyo sana

Juzi nimeenda polisi kutoa taarifa ya lijambazi lilikuwa linavunja mageti, polisi wakagoma kuja kumkamata ati wao hawahusiki!!

Unaweza ukawa unauwawa lakini hakuna wa kukusaidia, kazi yao ni KUBWATA TU
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makubwaaaa!!!

Waniwache kabisaa, wanataka kutuvunjia ndoa zetu inahusuuuu!! Ebooo [emoji3166]

Pilau ziheshimiwe plizzzzzz
Wizo wanataka usiwatch mapilau sa itakuwaje?? Na ushazoea kuibia style za ma mbele🤣🤣🤣🤣
 
Wizo wanataka usiwatch mapilau sa itakuwaje?? Na ushazoea kuibia style za ma mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huko ndo nilipojifunzia FISTING, napendraajeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tukiwa katika Mwezi wa Usalama Mtandaoni, TCRA kupitia, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umaa Bw. Rolf Kibaja imetoa maelezo kwamba Taarifa kwa Umaa iliyotolewa haijakataza matumizi ya VPN kama baadhi ya watu wanayopotosha kupitia mitandao ya kijamii. Bw. Kibaja amesema "TCRA imetoa utaratibu kwa watumiaji wa VPN kutoa taarifa za matumizi ya VPN lakini haijazuia matumizi ya VPN. Watu wanaoshiriki kutoa taarifa kuhusu VPN wataendelea na shughuli zao kama kawaida kupitia VPN.

Bw Kibaja amesisitiza "ni muhimu kwa watumiaji wa VPN kutoa taarifa kwa kuwa kusajili huduma ya VPN ni kama kujisajili kwa namba ya simu. Nchi nyingi zilizoendelea duniani zimechukua hatua kama hizi kuimarisha usalama mtandaoni, kama vile Uturuki, India, Belarus, Misri, China, na nchi nyingine. Ni muhimu kufahamu kuwa matumizi ya VPN nchini hayakatazwi bali yanapewa utaratibu rasmi."

Bw. Kibaja aliendelea kusema kwamba kutoa taarifa hizo hakuna gharama yoyote ya malipo na kwamba hakuingilli masuala ya faragha wala usalama wa watumiaji husika. “TCRA inaendelea kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kuhakikisha usalama katika mtandao sambamba na watumiaji wa mtandao kuendelea kuwa salama. Asante sana…”
IMG_20231016_055827_318.jpg
 
Mbona Ulaya na USA hakuna kusajili VPN?...

Au ni maandalizi ya chaguzi zijazo ili wapate uhalali wa kuumiza watu kwa kuwabambikiza kesi?
 
Back
Top Bottom