Wamezidi wizi Sana na Sasa hivi hawaonyeshi bundle iliyobakiAirtel siku hzi wamezid kula bando sijui nini kinaendelea unaweza zima data una GB 2 ukiwasha unakuta MB 400
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Wewe acha matusi kichwa chako ndio kigumu kuelewa mada iliyopo mezani ka mtihani siumefeli au ndio huko Airtel, bogusWanaolalamika ni wapumbavu sababu kuna hatua za kuchukua kabla ya kuoalamika,mtu unashindwa kupakua kipimio cha data ili kupima kiasi unachotumia na apps zinazotumia data nyingi!??
Kama una simu ka hii utalalamikaje unaibiwa?
Sema kama unatumia toleo la zamani sana la android ni halali kulalamika.View attachment 1602832
Hilo neno ""takribani"" katika hiyo sms uliyotumiwa naona Bado hujajua maana yake au unaijua ila umeamua tu kujitia umbumbumbu.... takribani90% doesn't mean exactly90%....it can be ±90% kwasisi wana mahesabu
Mfano:-
(89.5,89.6,89.7,89.8, 89.9, 90.0,90.1,90.2,90.3, & 90.4.)%
~90%
Kwasisi tuliosoma approximation/Rounding off numbers hizo namba zote nilizoziorodhesha ni ~90%
Kwahiyo kuwa mpole braza...hivyo vi MB 15.4 unavyodhani umeibiwa huenda vipo katika asilimia chache ambazo katika makadirio ya namba huwa tunavi-ignore
~
Airtel ni wahuni ukitaka kuangalia bundle hawaonyeshi, mleta mada ungeandika Airtel ili wajijue kabisa maana ni kero title yako iko general so hawawezi kupata ujumbe
Wewe acha matusi kichwa chako ndio kigumu kuelewa mada iliyopo mezani ka mtihani siumefeli au ndio huko Airtel, bogus
Uzi simple tu kashindwa kuelewaMi sifahamu hata mtihani wake wa darasa la saba alifanyaje.
Sasa hapo hawapati ujumbe wao maana title tofauti na content kabisa, mods hawatendi haki kuficha udhaifu wa airtelNliandika. Nadhani moderator huwa kuna kitu wanaambiwa so wameiondoa. Moderators kipindi hiki wanatia mashaka sana
Sasa hapo hawapati ujumbe wao maana title tofauti na content kabisa, mods hawatendi haki kuficha udhaifu wa airtel
Yani hafu JF imekuwa ka TBC kila kitu kinaeditiwa kufuraisha watu flani ile slogan hai apply and doesn't make sense at all. Sasa Kuna haja gani ya kuanzisha kitu then wao waandike wanachotaka wao badala ya users. Sasa hii mada itafanya watu wengi wasiisome na ujumbe usifikie walengwaKumekuwa na shida sana mwa mods nowdays. Wana edit kuwafichia watu au makampuni flani udhaifu wao na kitu kipo clear kabisa siyo cha kusingizia.
Heb piga hiyo menu afu chagua #1 uniambie kimekuja niniShida Airtel wametoa option ukitaka kuangalia bundle iliyobaki
Nipige ya nini sasa Mimi nawasilisha kero yangu kuhusu Airtel hayo mengine wangetoa maelezo yao. Kwahyo kwa akili yako unaamini wewe tu ndo unajua kutumia simu wengine hatujui?Heb piga hiyo menu afu chagua #1 uniambie kimekuja niniView attachment 1602889
Kuna neno TAKRIBAN pale yapasa kulizingatia hilo neno naloMB 1024 = 100%
10% = 102.4 MB, lakini wao wanasema umebakiwa na 87MB. 15.4MB hazijulikani ziliko
Ungekuwa unajua vitu vidogo hivi usimgekuja kulia lia huku kwanzaNipige ya nini sasa Mimi nawasilisha kero yangu kuhusu Airtel hayo mengine wangetoa maelezo yao. Kwahyo kwa akili yako unaamini wewe tu ndo unajua kutumia simu wengine hatujui?
Hivi watu wabadilishe jambo tofauti na mwanzo customers wataota hilo jambo kuwa limechange?Kabla hamjaja kulia lia mitandaoni pigeni kwanza simu huduma kwa wateja kisha ndio mje...hii siyo msg ya salio?? Hapo mm nimemaliza MB zangu ndio mana hapo hazijaorodheshwaView attachment 1602890
Wewe ndio huelewi Mambo rahisi natumia hyo njia wakichange niote tu, sasa mjinga Nani Mimi au wewe usiye elewa. Maana voda wako clear, so kuniambia niwe na guess new system ya kuangalia salio ndio utahira. Airtel hawatutendei haki customers wao ndio concern yetu. Wewe unajua Mana una mda mchafu wakufatilia au uko Airtel kwanini nijisumbue ku guess while huwa Kuna code inayojulikana rahisi. Ningekuwa tcra ningewapiga fine kubwaUngekuwa unajua vitu vidogo hivi usimgekuja kulia lia huku kwanza
Kuna neno TAKRIBAN yafaa kulizingatia nalo... japo hiyo haihalalishi wizi waoMB 1024 = 100%
10% = 102.4 MB, lakini wao wanasema umebakiwa na 87MB. 15.4MB hazijulikani ziliko
Sawa mkuu, wasalimie na wenzio hapo ofisini kwenu Morocco!Hiyo sms inakuja hata kama huna MB hata 1 kama mm sina data kama wk na najiunga halotel lakini kila siku naletewa sms kama hiyo