TCRA nawaomba msiwafanye watu wapumbavu tena tunawaomba sana, kweli unataka mimi nipige TCRA kuomba msaada? Nyinyi mnaishi planet gani? nadhani kuna haja ya kuchunguzwa hawa kama kuna rushwa wanapata kama free muda wa maongezi wanapewa kwa hiyo huwa hawanunui na hawajui gharama halisi. Kweli bila aibu mnatoa majibu mepesi namna hii? Waziri muhusika wawajibishe hawa jamaa kazi imewashinda."endapo kuna mtumiaji amenunua kifurushi, halafu akapata tofauti na kile alicholipia, awasiliane nasi."
Hii inaonesha kbsa TCRA hawapo serious tangu lini mtu ununue MB 800 afu ukapewa MB700. Yaan wanatoa mianya ya upigaji hadi mda waliopanga wenyewe.