sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Siku ya nane hii msanii maarufu kama Diamond kuambulia views milioni 1.1 pekee inastusha ,,,Si wanasemaga Almasi ananunua waonaji
MABANDOKwahiyo tcra wanahusika vipi hapo sorry sijaelewa vizuri
Wanazidi kushusha 1500 airtel walianza wanakupa 1.5 gb, ikaja 1.3, ikaja 1050 mb, ikaja 1000mb jana nashangaa kimya kimya imekuwa 850mb.MABANDO
Huyu tcra ndo mchawi.... Mabando yamepanda bei mno... Niliwakimbilia Halotel, kudadeki nao bei imekuwa juu..Wanazidi kushusha 1500 airtel walianza wanakupa 1.5 gb, ikaja 1.3, ikaja 1050 mb, ikaja 1000mb jana nashangaa kimya kimya imekuwa 850mb.
Tunakoelekea mb itakuwa ghali sana
Sababu uliotoa ni kweli lakini hapo kupata hivyo imechangia kwa yeye kutoa ngoma mbili kwa wakati mmojaSiku ya nane hii msanii maarufu kama Diamond kuambulia views milioni 1.1 pekee inastusga ,,,
hizi views miliooni 1 zamani zilikuwa za kawaida sana hata kwa kina nandy
View attachment 2308254
TCRA wanahusika vipi?Ilishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika hili.
Hali ya kuvipandisha bei vifurushi vya data imekuwa kama kuyakata mabawa ya umaarufu wa sanaa yetu Afrika,
Kwa sasa views zimekuwa ni changamoto sana, Hata wasanii wakubwa wanachukua takribani wiki nzima kufikisha views milioni.
Tunakoelekea hata views milioni 1 zitakuwa shughuli ya miezi.
Makampuni ya simu sasa hivi yanabamiza faida za kufuru na mwezi ujao watapandisha tenaIlishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika hili.
Hali ya kuvipandisha bei vifurushi vya data imekuwa kama kuyakata mabawa ya umaarufu wa sanaa yetu Afrika,
Kwa sasa views zimekuwa ni changamoto sana, Hata wasanii wakubwa wanachukua takribani wiki nzima kufikisha views milioni.
Tunakoelekea hata views milioni 1 zitakuwa shughuli ya miezi.
Ni tcra ndio wagawaji wa internet ndio wanawauzia mitandao, kwa hali ilivyo sasa watu wachache zaidi wanatumia internet, kwenye mikakati ya biashara unaona ni wazi kabisa mitandao ya simu haitaki kupoteza wateja kwa kupandisha bei ila ndio hivyo tena hakuna nnaMakampuni ya simu sasa hivi yanabamiza faida za kufuru na mwezi ujao watapandisha tena
Ilishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika hili.
Hali ya kuvipandisha bei vifurushi vya data imekuwa kama kuyakata mabawa ya umaarufu wa sanaa yetu Afrika.
Kwa sasa views zimekuwa ni changamoto sana, hata wasanii wakubwa wanachukua takribani wiki nzima kufikisha views milioni.
Tunakoelekea hata views milioni 1 zitakuwa shughuli ya miezi.
Watu wako busy hawana habari 😂Siku ya nane hii msanii maarufu kama Diamond kuambulia views milioni 1.1 pekee inastusha ,,,
hizi views miliooni 1 zamani zilikuwa za kawaida kuoatikana ndani ya masaa mchache tu
View attachment 2308254