TCRA inazika umaarufu wa Bongo Flava tuliokuwa nao Afrika, mwaka huu tumeshuhudia views za YouTube zikidondoka na bado zinaendelea kuporomoka

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ilishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika hili.

Hali ya kuvipandisha bei vifurushi vya data imekuwa kama kuyakata mabawa ya umaarufu wa sanaa yetu Afrika.

Kwa sasa views zimekuwa ni changamoto sana, hata wasanii wakubwa wanachukua takribani wiki nzima kufikisha views milioni.

Tunakoelekea hata views milioni 1 zitakuwa shughuli ya miezi.
 
Si wanasemaga Almasi ananunua waonaji
Siku ya nane hii msanii maarufu kama Diamond kuambulia views milioni 1.1 pekee inastusha ,,,

hizi views miliooni 1 zamani zilikuwa za kawaida kuoatikana ndani ya masaa mchache tu

1659119494660.png
 
Hilo linadhihirisha kuwa waimbaji wa Bongo fleva sio kama walikua wanakubalika zaidi kuliko wa sehemu nyengine Africa ila urahisi wa Bando hapa nchini ndio ulikua unawabeba sana, na ndio mana ni rahisi Bongo nyimbo kutengeneza Views mamilioni kuliko nyimbo za nchi nyengine Africa. Tulifikia hatua kuna baadhi ya waimbaji wetu wakawa tunalazimishana kuaminishana kuwa wana ubora Africa nzima kwa sababu hizo views za bando za bei rahisi.

ILa ilisaidia sana kukuaza waimbaji wetu pamoja na muziki wetu kiujumla. Kwa sasa hali inakwenda kuwa mbaya sana. Ni vizuri Serekali ikalifikiria upya hilo jambo kwa maslahi mapana ya nchi.
 
Ilishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika hili.

Hali ya kuvipandisha bei vifurushi vya data imekuwa kama kuyakata mabawa ya umaarufu wa sanaa yetu Afrika,

Kwa sasa views zimekuwa ni changamoto sana, Hata wasanii wakubwa wanachukua takribani wiki nzima kufikisha views milioni.

Tunakoelekea hata views milioni 1 zitakuwa shughuli ya miezi.
TCRA wanahusika vipi?
 
Makampuni ya simu sasa hivi yanabamiza faida za kufuru na mwezi ujao watapandisha tena
 
Ni tcra ndio wagawaji wa internet ndio wanawauzia mitandao, kwa hali ilivyo sasa watu wachache zaidi wanatumia internet, kwenye mikakati ya biashara unaona ni wazi kabisa mitandao ya simu haitaki kupoteza wateja kwa kupandisha bei ila ndio hivyo tena hakuna nna
 
Ilishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika hili.

Hali ya kuvipandisha bei vifurushi vya data imekuwa kama kuyakata mabawa ya umaarufu wa sanaa yetu Afrika.

Kwa sasa views zimekuwa ni changamoto sana, hata wasanii wakubwa wanachukua takribani wiki nzima kufikisha views milioni.

Tunakoelekea hata views milioni 1 zitakuwa shughuli ya miezi.

Tanzania ni nchi yenye gharama nafuu za bando alisema waziri
 
Back
Top Bottom