sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ilishazoeleka miaka ya 2014 hadi 2021 mziki wetu ulikuwa ni maarufu sana kwa kigezo moja wapo cha kuwa na views wengi, Ni kitu kilichofanya hata wasanii wengi wa nchi nyingine kutuonea wivu katika hili.
Hali ya kuvipandisha bei vifurushi vya data imekuwa kama kuyakata mabawa ya umaarufu wa sanaa yetu Afrika.
Kwa sasa views zimekuwa ni changamoto sana, hata wasanii wakubwa wanachukua takribani wiki nzima kufikisha views milioni.
Tunakoelekea hata views milioni 1 zitakuwa shughuli ya miezi.