TCRA kama bado mna Meno yenu Makali natumaini hiki nilichokisikia leo kutoka Wasafi FM mtawaadhibu upesi

Hip hop 90% zote za mbele US zina matusi na radio zote huwaga hawa mute yale matusi nyimbo inapigwa kama ilivyo.
 
wimbo wa nandy na hamonaizi kama wanauona unafaa huko kwenye kiingereza cjui mother fucker ndo hawagusi kabisa
 
Hip hop 90% zote za mbele zina matusi na radio zote huwaga hawa mute yale matusi nyimbo inapigwa kama ilivyo.
Labda ungesema baadhi ila sio zote. Mfano mzuri EA radio hata shenzi type ya madee huwa wanamute,radio nyingi huwa wanamute labda hizo unazosikiliza wewe ndo wanajiachiaga tu
 
Eheee !! swali zuri mkuu wakiswahili nao waweze kujikweza
 
Kuna nyimbo ya Hip Hop ya kiingereza ambayo haina neno f*ck?
 
Umeongea mengi sana lakini hakuna tusi hapo.
 
Sio kila tusi kwako ni tusi kwa kila MTU .una uhakika mother fucker ni tusi ?
 
Mkuu mbona nyimbo zote za Diamond ni matusi mtupu tena ya ajabu au huwahusikilizi
 
Nyimbo za mwenye redio zenyewe zimesheheni matusi lukuki ushawahi kuwasikia basata hata hao tcra kuzizungumzia?even if they are subtle like ukisikiliza ni matusi ushawahi kusikia kaonywa?kingine hao unaowasikia redionini wajinga tu wanatolewa huko mitaani eti ni madj hawajui hata kama hiomother fucker ni tusi
 
Mi sioni kama wamekosea. Maana TCRA & BASATA wapo kufungia nyimbo za ndani tu sio za nje. Ww umesikia huo tu je sisi tunao wekewa video za music kwenye vituo vyetu vya tv tena vya ndani ya nchi unakuta music video ina scene za ushogo, watu wapo uchi kama za lady Gaga, ila bado wapo kimya awazioni wakazifungia kupigwa nchini kisa tu ni msanii wa nje ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…