Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nimeona vodacom wamenitumia meseji sasa hiviHabari zenu wadau kama tcra walivyosema kutawekwa badiliko katika vifurushi hii ikiwemo na bei mpya je itaweza kukidhi haja zetu sisi watu wa kipato cha kawaida
Me tigo na voda wote wamenitumiaNimeona vodacom wamenitumia meseji sasa hivi
Afadhali turudi kwenye line moja tu, unashangaa mtu unaline 5.....aisee.....nibaki na laini 2 tu voda na tigo za enzi hizoMe tigo na voda wote wamenitumia
Ahahahha asee kwl wanataka watu wafanye kaziTsh 500=MB 10
Tsh 1,000=MB 30
Tsh 1,500=MB 50
Tsh 2,000=MB 100
Tsh 3,000 =MB 200+10
Tsh 5,000=MB 500+50
Tsh 9,000=GB 1+MB 100
πππππππππ
Tunataka mchape kazi na sio umbea πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Ha ha ha ha ha ha haNimepokea sms mfululizo leo kuhusu hili, ngoja tusubiri.
Nasubiri ile option ya kuhamisha data kwenda simu nyingine. Kijijini kwa bibi kuna watu wana GB 20 halaf hawana matumizi nayo.
namba tunaisoma kwakweliTumeipenda wenyewe wacha tuisome namba