SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
TCRA imewataka watoa huduma za simu nchini kuweka utaratibu utakaomuwezesha mteja kuhamisha unit za kifurushi chake kwenda kwa mtumiaji mwingine aliye ndani ya mtandao wake.
Pia wametoa sharti la kiasi cha chini kuhamisha kutoka kwa mtumiaji kwenda kwa anayehamishiwa itakuwa kuanzia 250MB.
Hatua hiyo imetokana na uwepo wa malalamiko mengi kutoka kwa watumiaji kuhusu vifurushi vya simu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430] yaani hawa watu