Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu hapa ni kuexpire kwa kifurushi na kasi ya internet...Mbona wanasolve tatizo ambalo hatujalilalamikia.
Issue zetu kubwa:
(1) Gharama za vifurushi especially internet zipo juu sana. Na zinazidi kupanda.
(2) Kwanini vifurushi vina expire.
(3) Wasipunguze speed ya internet.
(4) Kula kifurushi na vocha bila mteja kujua.
Wasijaifanye wanang'ata na kupuliza TCRA haohao ndo wamefanya vifurushi vipande mara2.. hapo wanatufanyia danganya toto tuuTCRA imewataka watoa huduma za simu nchini kuweka utaratibu utakaomuwezesha mteja kuhamisha unit za kifurushi chake kwenda kwa mtumiaji mwingine aliye ndani ya mtandao wake.
Pia wametoa sharti la kiasi cha chini kuhamisha kutoka kwa mtumiaji kwenda kwa anayehamishiwa itakuwa kuanzia 250MB.
Hatua hiyo imetokana na uwepo wa malalamiko mengi kutoka kwa watumiaji kuhusu vifurushi vya simu.
Hatuna mtetezi!!!TAMKO RASMI LA TCRA LEO 02.03.2021 KUHUSU VIFURUSHI CHA KUSHANGAZA SIJAONA TAMKO LENYE MANTIKI KWA WANANCHI.
View attachment 1715731
View attachment 1715732
View attachment 1715733
View attachment 1715734
Kuhusu utapeli inatekelezeka!!!Shida utekelezaji wa hizo kanuni.
TCRA ni mkate, makampuni ya simu ni chai.TAMKO RASMI LA TCRA LEO 02.03.2021 KUHUSU VIFURUSHI CHA KUSHANGAZA SIJAONA TAMKO LENYE MANTIKI KWA WANANCHI.
View attachment 1715731
View attachment 1715732
View attachment 1715733
View attachment 1715734
Takwimu hizi sisi wananchi wa kawaida hatuoni manufaa yake ikiwa bado "tunapigwa" kwenye gharama za vifurushi hasa baada ya mapinduzi ya simu janja (smartphones), Dakika na SMS sio kesi ila kwenye MEGABYTES (MBs) haya makampuni ya simu ndio yanajipigia sana hela, bei haziendani na hali halisiTAMKO RASMI LA TCRA LEO 02.03.2021 KUHUSU VIFURUSHI CHA KUSHANGAZA SIJAONA TAMKO LENYE MANTIKI KWA WANANCHI.
View attachment 1715731
View attachment 1715732
View attachment 1715733
View attachment 1715734
Hesabu inajazwa Maneno kuliko namba!!TCRA ni mkate, makampuni ya simu ni chai.
Hamna mkate mgumu mbele ya chai