Na kwa bahati mbaya sana wananchi hao "bendera fata upepo" wanaujua upepo mmoja tu wa CCM.
Hivi uliliwaza hilo ulipokuwa unaandika maneno hayo, maanake inaonekana wewe ni CCM damu damu!
Hebu jaribu kuwahimiza wananchi hao waache hiyo tabia ya kuwa "fata upepo" - ukiweza hilo, nitaungana nawe katika yote uliyoandika hapo juu.
Nchi za majuu zipiSidhan kma watakuja na hiyo akili ya kimatope, hata wenzetu nchi za majuu watu wanamiliki laini zaidi ya moja na hazina madhara yoyote! Tabutupu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mtu akiwa na laini zaidi ya moja za mtandao huo huo shida inatoka wapi as long as he is duly registered! ?
Kuna watu wanatumia devices tofauti tofauti kwa ajili ya mawasiliano na internet!
Unahitaji ku connect laptops, computers, simu zaidi ya moja nk.
Badala ya kwenda mbele katika kutumia fursa za utandawazi, magufuli yuko bize kuturudisha chattle enzi za ujima 987 BC!
Inafikirisha sana! Huyu mzee ana ajenda gani iliyojificha nyuma ya huu uovu wake wote?
He is extremely busy creating troubles all over the place!
Niseme tu kwamba, huyu mzee kama hana nia ovu, basi ana ushamba usiomithilika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kma watakuja na hiyo akili ya kimatope, hata wenzetu nchi za majuu watu wanamiliki laini zaidi ya moja na hazina madhara yoyote! Tabutupu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi nikiwa katika viunga vya bunge na baadhi ya maafisa wa serikali, kuna jambo la ajabu sana nilisikia eti ule uvumi ulio kuwepo mwanzo kwamba raia hata ruhusiwa kusajili laini zaidi ya moja ni uhalisia.
Nikajiuliza lengo hasa ni nini?
Kama nina laini 100 na zote nimesajili kwa vidole tatizo lipo wapi?
Akili vs matope?
TCRA imesema lengo la kusajili kwa vidole na vitambulisho vya NIDA ni kukabiliana na ujambazi na uhalifu, sasa swala la laini moja linatoka wapi?
Nilimweleza mbunge mmoja, anatokea mkoa Kagera kwamba ajaribu kuishauri Serikali kuachana na issue ambazo hazina manufaa na zinaloleta usumbufu na maisha magumu kwa wananchi.
Mnataka wote tuwe na maisha ya gerezani?
na nyie sasa mmezidi, kila kitu magufuli! its too much sasa
An alarmist....hakuna kitu kama hicho...acha kusambaza taarifa zisizo sahihiJuzi nikiwa katika viunga vya bunge na baadhi ya maafisa wa serikali, kuna jambo la ajabu sana nilisikia eti ule uvumi ulio kuwepo mwanzo kwamba raia hata ruhusiwa kusajili laini zaidi ya moja ni uhalisia.
Nikajiuliza lengo hasa ni nini?
Kama nina laini 100 na zote nimesajili kwa vidole tatizo lipo wapi?
Akili vs matope?
TCRA imesema lengo la kusajili kwa vidole na vitambulisho vya NIDA ni kukabiliana na ujambazi na uhalifu, sasa swala la laini moja linatoka wapi?
Nilimweleza mbunge mmoja, anatokea mkoa Kagera kwamba ajaribu kuishauri Serikali kuachana na issue ambazo hazina manufaa na zinaloleta usumbufu na maisha magumu kwa wananchi.
Mnataka wote tuwe na maisha ya gerezani?
Hata ngazi ya familia kuna kanuni na taratibu sembuse nchi! Kama usumbufu tafuta nchi nyingine lakini huo ndio utaratibu wa Tanzania
Soma sheria imeambatanishwa hapo juu. Mtandao mmoja line moja, kwa matumizi binafs. Manake unaweza kuwa na line moja moja kwa kila mitandao kwa mitandao yote. La uombe kibari TCRA.Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.
Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!
Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
SawaSheria iko wazi,kwa individual Ni line moja tu,labda uwe na machine Kama computer, tablet etc ndo unaruhusiwa nne maximum Kama sikosei kea ajili ya machine to machine communication,na Happ mpaka utoe maelezo,
Tunaongelea individual to individual communication mfano umesajili laini ukampa Bibi kijijini,housegal etc Ni marufuku
Ulitaka tumtaje nani kama sio magufuli?na nyie sasa mmezidi, kila kitu magufuli! its too much sasa
Ungeweka "taarifa sahihi" ningeheshimu sana mchango wako hata kama sikubaliani nao.Acheni kupotosha watu kwa taarifa zisizo sahihi Kisha mnamsingizia ccm! We vyovyote utakavyoniona ni
Mkuu Mimi ni kenge wewe je..?
Hilo halikuhusu wewe, linamhusu huyo anayetaka zaidi ya 'laini' moja, ali mradi havunji sheria yoyote na hiyo laini ya ziada.labda tukuuliza unataka laini zaidi ya moja ili ufanyie nn kwenye hio laini ingine ambapo hio ingine imeshindwa kufanya?
Kiuhalali sio sawaSawa
Ila ingekuwa kila mtu amsajilie ndugu, bibi, shangazi etc NIDA isingekuwa na maana yoyote uwepo wake.
Au mkuu unaona wamekosea kusema ni marufuku kumsajilia ndugu, jamaa na marafiki?
Kiuhalali sio sawa
Hii sheria imetungwa lakini naamini walitunga na kupitisha hawakuiangalia kwa mapana.
1.Sheria hii itaathiri Sana makampuni ya Simu,yatapoteza wateja kwa asilimia kubwa Sana,yatapoteza mapato mengi Sana.Baada ya hapo titarajie UPUNGAZAJI Wa wafanyakazi,wananchi wengi kuathirikia kwa gharama za mawasiliano kuongezwa.
2.Serikali itapoteza .mapato mengi ya kodi na tozo mbalimbali kutoka kwenye sekta ya mawasiliano,hali katika sekta ya mawasiliano itakuwa mbaya zaidi.
3.Makampuni ya Simu kuingia katika kipindi kigumu cha uendeshaji,mwisho Wa siku tutegemee makampuni baadhi kushindwa kujiendesha na kufungwa.
Hebu tuchukulie mfano,VODACOM wana wateja 10M+ kufikia hiyo idadi kuna wateja wana line zaidi ya moja,je sheria hii haitawaathiri Vodacom?
Mfano Wa pili,Mimi Nakapanya,Nina vibanda vyangu vya huduma za kifedha sehemu tofauti tofauti,he Leo Hi sheria hii haiwezi kuniathiri?
Mwisho ningependa kuishauri serikali iache kufikiria vitu rahisi,ifikirie vitu vitakavyotusogeza mbele,hivi vitu rahisi siyo kipaumbele chetu.
NAKUPENDA TANZANIA
SawaKiuhalali sio sawa
Sawa
Ila serikali wapo sawa kiulinzi na kiusalama na kupunguza lawama kama Fraud zikitokea iwe mwenye jina uhusika awe responsible sio bibi, babu au shangazi.
Ndio umemsajilia kaka yako kwa mfano halafu simcard imefanya utapeli utakubali kuhusishwa na kesi