TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

Kulikuwa na haja ya taasisi hizi mbili (NIDA na TCRA ) kukaa pamoja ili kuona namna kuendesha zoezi pamoja kabla kutangaza tarehe ya mwisho, kuliko wanavyopishana kama ziko chini ya serikali mbili tofauti
 

Kwanini wasiruhusu hata hizi Passport mpya kutumika kusajiri laini. Kuna fingerprint there. Itasawasaidia walioko nje kusajiri laini zao, kuwa na mawasiliano wakifika Tanzania instead of waiting three weeks bila simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…