IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Naona kama wamejikita kudukua mazungumzo ya watu, sijui tuna matatizo gani aisee. Yaani issues za communications ziko kibao and unresolved, mfano wale jamaa wa tuma pesa kwa namba hii bado wapo, makampuni ya simu yanaibia watu vifurushi, local stations hazionekani kwenye TV zote etc etc but wao bado wanahainga na lines za watu.Awa TCRA ata siwaelewi majukumu yao,, Mitandao inatunyonya, network mbovu, wao kazi kufungia TV station tu...