TCRA: Laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri, Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

Awa TCRA ata siwaelewi majukumu yao,, Mitandao inatunyonya, network mbovu, wao kazi kufungia TV station tu...
Naona kama wamejikita kudukua mazungumzo ya watu, sijui tuna matatizo gani aisee. Yaani issues za communications ziko kibao and unresolved, mfano wale jamaa wa tuma pesa kwa namba hii bado wapo, makampuni ya simu yanaibia watu vifurushi, local stations hazionekani kwenye TV zote etc etc but wao bado wanahainga na lines za watu.
 
Mimi nimeliona hilo kwenye Halotel nilipo renew line yangu...kuna hicho ki PIN ambacho kila ukizima na kuwasha simu lazima laini hiyo idai PIN....na kwa kweli hii inakera sana...ijapokuwa labda lengo lao ni security.
 
Kuchukua finger prints zetu wameona haitoshi sasa wahangaike na bei,ubora wa vifurushi pamoja na charges feedls za kutuma na kupokea pesa zipo juu sana sio haya mambo ya kumtafuta mchawi
 
Centralization hiyo inaitwa... Kodi na mikopo yetu mtailipa tuu...
 
Sasa fish gani umem-smell, kilakitu sasa cha hii serikali mnakichukulia in negative way
By experience!! Serikali Hii siku zote huwa inatuona kama mangombe,ukiukataa u ngombe inakufanya kuwa adui mkubwa, hatuiamini sana,samahani mkui
 
Mbona hii iko hivyo tangu kitambo.

Kama halotel mpaka uingize pin ndio unawezatumia laini zao mpya uwe umerenew umesajili au umeapgrade.
Hio ni sheria.

Na ukitaka kudisable haiwezekani inagoma.
 
Tupate mustakabala wa Corona kwanza.

Mengine haya kwa wafu watarajiwa ni makelele tu kwetu wengine.
Mpate mustakabali wankorona na nani acha ujinga wewe ndiyo mfu mtarajiwa jiongelee wewe mwenyewe,unatakaka nani aje akukinge na korona mhuzi wewe mbona mnakuwa na lawama za kijinga?mkeo asiposhoka mimba utakuja humu kuomba mstakabali waje wakusaidie juu ya hilo?mbona wenye ukimwi hamtafuti mstakabali na umalaya wenu?
 
Mbona hata sasa zipo hivyo ukinunua line mpya
 



Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mkuu tupe majibu juu ya taharuki hii
 
Centralization hiyo inaitwa... Kodi na mikopo yetu mtailipa tuu...
Hii mikopo kutoka HESLB nashaur tu wawe wanatafuta kitu mwanafunz anaweka kama Collateral ili akishindwa kulipa mkopo hich kitu kichukuliwe kwa sabab unakuta mtu kamaliza 2005 huko na akawa funded kwa 100% alaf leo unamwambia lipa anakwambia hana kazi na hajajiajiri😬😬😬 Sasa mtu wa hiv ndo unamsetia Finger print ili umkamate kirahis wakat hali ni mbaya
 
Serikali ya Waongo waongo ataiamini nani?

Hii serikali ina vinasaba vyote vya Shamba la Wanyama na 1984(George Orwell).

All animals are equal but some are equal than others.

Four legs good but two legs better.

Big brother is watching you etc etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…