Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA
TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote ndani ya miezi mitatu
Swala la utapeli wa meseji za tuma kwenye namba hii ni kama limewazidi akili mpaka sasa hamjafanikiwa kuteketeza hawa wahalifu
Turejelee kuwa namba za hawa matapeli zinakuwa zimesajiliwa na Kitambulisho cha Taifa NIDA kwahiyo mhalifu anaweza kusajili zaidi ya namba moja kwa kutumia hicho kitambulisho jambo ambalo mki Ban namba moja anaweza kuendelea na nyingine zilizobakia
Dawa ya kuteketeza uhalifu huu ni kuwa baada ya kuthibitisha namba hiyo imetuma meseji za kihalifu kwanza kabisa Ban NIDA iliyosajili hiyo namba isiweze kusajili namba nyingine na baada ya hapo Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA kwasababu mmiliki wa hizo namba nyingine ni huyohuyo mhalifu mwenye hiyo NIDA
Ikiwa kuna mtu atakayeonewa akidai kwamba NIDA yake imesajili namba pasipo yeye kujua afike ofisi zenu kuthibitisha lakini hiyo ni baada ya NIDA pamoja namba zake zote kuwa Blacklisted
NIDA zote zenye namba za kitapeli zipigwe msumari pamoja na namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA atakayesema ameonewa afike TCRA kuthibitisha