TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

Halafu mumu humu JF Don Namilison naye kaweka yake halafu Admin wapo kimya tu.
 

Mathayo 24:11 Na Manabii Wengi Wa Uongo Watatokea Na Kudanganya Wengi
 
Wanachafua picha ya nchi yetu kimataifa, imagine mtu ana blog inahoji matumizi ya serikali anatafutwa akamatwe ila kuna zumbukuku mmoja zao la milembe anatamba na mada zake za hovyo
Ccm huyo hawez kukamatwa.
 
Kwani TCRA inasoma biblia? Inajuaje kama ni kweli ama si kweli?? Hebu acheni kuchanganya mambo. Mteteeni huyo Yesu wenu acheni kulia lia

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
vipi kuhusu mtume wenu adhalilishwe, utasema tcra haisomi quran? Kama hamjaanza kumtetea wenyewe kwa jazba.
 
Alipokuwa anaonesha Biblia imeandikwa CCM mbona mlikaa kimya? Nyoka mlimfuga wenyewe acheni awatemee mate.
Na yale magauni yake yenye rangi ya kijani kibichi kwa nakshi ya msaraba wa njano.

Kipindi cha kampeni 2020 alikua akishinda ma manguo ya kijani roundabout ya kawe, walikaaa kimyaaaa
 
Kwani TCRA inasoma biblia? Inajuaje kama ni kweli ama si kweli?? Hebu acheni kuchanganya mambo. Mteteeni huyo Yesu wenu acheni kulia lia
Siku watapokuja na mada ya mitume wako uje uandike hivi hivi.
 
Wako wapi madaktari wa afya akili watuainishie aina za watu wenye ukichaa? Maana wengine wanaonekana ni wazima si wachafu wala hawaokoti makopo kumbe ni vichaa wa uhakika
 
Hivi mbona kwenye uislam hakuna vituko kama hivi? Hakika ukristo umetamalaki uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…