TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

Hivi mbona kwenye uislam hakuna vituko kama hivi? Hakika ukristo umetamalaki uhuru
Sasa kama unajua ni uhuru kwani tatizo ni nini kwako mpaka unaingilia na dini zingine? Dini iliyokashifiwa hapo ni inayomuhusu Yesu ila naona unarukaruka kutaka kuingiza na dini zingine hapa,punguza kuwashwa.
 
Yan hakuna wazo mbadala. Tunatakiw tumuukize tito kwann anamtuhumu yesu ni shetani?
 
Sasa kama unajua ni uhuru kwani tatizo ni nini kwako mpaka unaingilia na dini zingine? Dini iliyokashifiwa hapo ni inayomuhusu Yesu ila naona unarukaruka kutaka kuingiza na dini zingine hapa,punguza kuwashwa.
Na nyie muache kushabikia uhuni Yesu anapokashifiwa na hawa na hawa washenzi tulieni kimya mtuache tuwajibu. Ila kwa ufupi ukristo unajipambania wenyewe hautaji kupambaniwa na binadamu hata kama waasi wote wenyewe upo tu na umepitia changamoto nyingi karne na karne ukristo upo tu na hautetereshwi na muhuni wa aina yeyote duniani na kuzimu
 
Sasa kama ukristo unajipambania wenyewe mbona matapishi yanakutoka hapa? unadhani lengo la hii thd sio kuupambania Ukristo? sipendi mtu kukashifu imani za wengine na wala si support hilo,kila mtu aabudu anachokiamini ila wewe naona unawashwa kutaka kuingiza dini nyingine kwenye hii thd.
 
Hivi kwanini kila rais akiwa mwislamu chokochoko za kukashifu ukristo huibuka upya?
Kwanini unataka kuuingiza Uislam katika hili? Huyo Mwendawazimu ameanza mambo yake na kupata umaarufu tokea 2018 huko, na ilikuwa ni wakati wa Magufuli.

Wewe ndio unataka kuleta chokochoko hapa.
 
Huyu nabii Tito anamuita Yesu ni shetani kule nabii billionaire Shilla anamuita Yesu mwizi..basi ni tafrani

Uhuru wa kupitiliza ulio ktk ukristo unafanya baadhi ya watu kuhama katka reli na kuishia kudhalilisha dini
Tatizo Hawa Tito na shila Ni mashoga Sasa wanamchukia Yesu sababu amekataza wao kufir,,,, Sasa wanamuona mbaya wao.
 
Umesahau ile albadili waliyompa afande sele sijui ikaishia wapi
Sijui kwanini katika hili mnataka kuuingiza na Uislam. Mbona wakorofi nyinyi? Huyo uliyemnukuu amemnukuu huyo sundoka ambaye sio Muislam. Sasa Uislam unaingiaje hapa? Kwanini baadhi yenu huwa mtu akiukashifu Ukristo nyinyi humuona ni Muislam hivyo na nyinyi mnakimbilia kuukashifu Uislam. Humu kuna watu wanaupinga na kuukashifu Ukristo na wala sio Waislam, kuna Atheists na Wapagani na wengineo.

Btw, Kwa faida yako tu, "albadili" ni Uchawi tu, hivyo ni Haramu katika Uislam. Na hao unaowamaanisha hawakumsomea afande Sele "albadili" japo hilo walilolifanya pia walikosea, ila sio "albadili".
 
Na nyie muache kushabikia uhuni Yesu anapokashifiwa na hawa na hawa washenzi tulieni kimya mtuache tuwajibu. Ila kwa ufupi ukristo unajipambania wenyewe hautaji kupambaniwa na binadamu hata kama waasi wote wenyewe upo tu na umepitia changamoto nyingi karne na karne ukristo upo tu na hautetereshwi na muhuni wa aina yeyote duniani na kuzimu
Acheni ukorofi. Baadhi yenu mnafikiri kila anayeukashifu Ukristo basi ni lazima awe ni Muislam.
 
Sasa kama unajua ni uhuru kwani tatizo ni nini kwako mpaka unaingilia na dini zingine? Dini iliyokashifiwa hapo ni inayomuhusu Yesu ila naona unarukaruka kutaka kuingiza na dini zingine hapa,punguza kuwashwa.
Hata mimi huliona hili. Uzi utakuta hauuhusu Uislam kabisa, lakini baadhi ya watu wakorofi watalazimisha na Uislam uingie. Baadhi yao hudhani kila anayekashifu Ukristo humu basi ni Muislam, hivyo atakimbilia kuutukana na kuukashifu Uislam.
 
Nilikutana kitaa g.mboto nipo vyombo bar kidogo nimchape
Jamaa namjua vizuri sanaa long time sana

Alikuwa kinyozi mitaa ya kinondoni

Alikuwa anapiga mavyuma,akapagawaga

Miaka 2 nlikutana naye moroco alikuwa na mwanamke akamtambulisha kama mke wake
Tena aliiniita "baharia"za masiku nkamzingua kdg ila kichwan mwake hayuko sawa

Ova
 
Back
Top Bottom