The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Sasa kama unajua ni uhuru kwani tatizo ni nini kwako mpaka unaingilia na dini zingine? Dini iliyokashifiwa hapo ni inayomuhusu Yesu ila naona unarukaruka kutaka kuingiza na dini zingine hapa,punguza kuwashwa.Hivi mbona kwenye uislam hakuna vituko kama hivi? Hakika ukristo umetamalaki uhuru
Na nyie muache kushabikia uhuni Yesu anapokashifiwa na hawa na hawa washenzi tulieni kimya mtuache tuwajibu. Ila kwa ufupi ukristo unajipambania wenyewe hautaji kupambaniwa na binadamu hata kama waasi wote wenyewe upo tu na umepitia changamoto nyingi karne na karne ukristo upo tu na hautetereshwi na muhuni wa aina yeyote duniani na kuzimuSasa kama unajua ni uhuru kwani tatizo ni nini kwako mpaka unaingilia na dini zingine? Dini iliyokashifiwa hapo ni inayomuhusu Yesu ila naona unarukaruka kutaka kuingiza na dini zingine hapa,punguza kuwashwa.
Huyu ni alidata kitambo sana
Nashanga watu wanaomfatilia
Ova
Sasa kama ukristo unajipambania wenyewe mbona matapishi yanakutoka hapa? unadhani lengo la hii thd sio kuupambania Ukristo? sipendi mtu kukashifu imani za wengine na wala si support hilo,kila mtu aabudu anachokiamini ila wewe naona unawashwa kutaka kuingiza dini nyingine kwenye hii thd.Na nyie muache kushabikia uhuni Yesu anapokashifiwa na hawa na hawa washenzi tulieni kimya mtuache tuwajibu. Ila kwa ufupi ukristo unajipambania wenyewe hautaji kupambaniwa na binadamu hata kama waasi wote wenyewe upo tu na umepitia changamoto nyingi karne na karne ukristo upo tu na hautetereshwi na muhuni wa aina yeyote duniani na kuzimu
Hivi kwanini kila rais akiwa mwislamu chokochoko za kukashifu ukristo huibuka upya?TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani
Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
View attachment 2002720
Huyo sundoka sio Muislam. Hivyo Uislam unaingiaje hapa?vipi kuhusu mtume wenu adhalilishwe, utasema tcra haisomi quran? Kama hamjaanza kumtetea wenyewe kwa jazba.
Kwanini unataka kuuingiza Uislam katika hili? Huyo Mwendawazimu ameanza mambo yake na kupata umaarufu tokea 2018 huko, na ilikuwa ni wakati wa Magufuli.Hivi kwanini kila rais akiwa mwislamu chokochoko za kukashifu ukristo huibuka upya?
Tatizo Hawa Tito na shila Ni mashoga Sasa wanamchukia Yesu sababu amekataza wao kufir,,,, Sasa wanamuona mbaya wao.Huyu nabii Tito anamuita Yesu ni shetani kule nabii billionaire Shilla anamuita Yesu mwizi..basi ni tafrani
Uhuru wa kupitiliza ulio ktk ukristo unafanya baadhi ya watu kuhama katka reli na kuishia kudhalilisha dini
Sijui kwanini katika hili mnataka kuuingiza na Uislam. Mbona wakorofi nyinyi? Huyo uliyemnukuu amemnukuu huyo sundoka ambaye sio Muislam. Sasa Uislam unaingiaje hapa? Kwanini baadhi yenu huwa mtu akiukashifu Ukristo nyinyi humuona ni Muislam hivyo na nyinyi mnakimbilia kuukashifu Uislam. Humu kuna watu wanaupinga na kuukashifu Ukristo na wala sio Waislam, kuna Atheists na Wapagani na wengineo.Umesahau ile albadili waliyompa afande sele sijui ikaishia wapi
Acheni ukorofi. Baadhi yenu mnafikiri kila anayeukashifu Ukristo basi ni lazima awe ni Muislam.Na nyie muache kushabikia uhuni Yesu anapokashifiwa na hawa na hawa washenzi tulieni kimya mtuache tuwajibu. Ila kwa ufupi ukristo unajipambania wenyewe hautaji kupambaniwa na binadamu hata kama waasi wote wenyewe upo tu na umepitia changamoto nyingi karne na karne ukristo upo tu na hautetereshwi na muhuni wa aina yeyote duniani na kuzimu
Nilikutana kitaa g.mboto nipo vyombo bar kidogo nimchapeHuyu ni alidata kitambo sana
Nashanga watu wanaomfatilia
Ova
Hata mimi huliona hili. Uzi utakuta hauuhusu Uislam kabisa, lakini baadhi ya watu wakorofi watalazimisha na Uislam uingie. Baadhi yao hudhani kila anayekashifu Ukristo humu basi ni Muislam, hivyo atakimbilia kuutukana na kuukashifu Uislam.Sasa kama unajua ni uhuru kwani tatizo ni nini kwako mpaka unaingilia na dini zingine? Dini iliyokashifiwa hapo ni inayomuhusu Yesu ila naona unarukaruka kutaka kuingiza na dini zingine hapa,punguza kuwashwa.
Serikali haina dini.. Huyo Mungu atadili naye mwenyeweTCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani
Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
View attachment 2002720
Jamaa namjua vizuri sanaa long time sanaNilikutana kitaa g.mboto nipo vyombo bar kidogo nimchape
Na aluthibutishwa na madaktariHuyu Bw ni Mental case.