Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Watusaidie kwa kutukumbusha via hizi sms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watusaidie kwa kutukumbusha via hizi sms
Yeah sasa hivi wanatuma sanaWatusaidie kwa kutukumbusha via hizi sms
Mimi mbona kwangu inakubali kurecord fresh tuMleta mada naomba ufafanuzi umewezaje kurekodi mazungumzo baada ya kuwa umepigiwa simu na hao jamaa? Maana siku hizi TCRA imewaelekeza watu wa mitandao ku-disable functionality ya kurekodi mazungumzo kupitia simu inayotumika kwenye mazungumzo husika.
Kitu ambacho huelewi mimi siishi kwa kuangalia nani kafanya nini, na huwa siohopi kupoteza muda kwa ajili ya kesi. Kama kuna wengine nao wametumiwa na wakalubaliana hiyo haimaniiahi kuwa inaondoa jinai wanayotenda, Ndo maana zikaabdaliwa sheria kujua kwa kuzingatia kuwa uhalifu huwezi kukoma, kila siku si unasikia watu.wanahukumiwa mpaka vifungo vya maisha kwa ulawiti je ulawiti umeisha. Kila mtu anamtizamo wake na namna ya kupokea na kushughulika na mambo mbalimbali. Kifupi mimi nainjoy sana kesi na zipenda mnoUnadhani hizo msg wewe ndio wa kwanza kupokea? Ama wewe ndio wa kwanza kuanzisha thread ya malalamiko haya humu jf? Nakwambia tena bila mwanasheria hutoboi, tafuta lawyer atengeneze kesi nzuri.
Wewe acha majigambo ya kidwanzi, ungekuwa serious ungeleta hapa kesi namba yako ulosajiri mahakamani, huna lolote zaidi ya kumaliza machungu yako kwa kuandika thread.Kitu ambacho huelewi mimi siishi kwa kuangalia nani kafanya nini, na huwa siohopi kupoteza muda kwa ajili ya kesi. Kama kuna wengine nao wametumiwa na wakalubaliana hiyo haimaniiahi kuwa inaondoa jinai wanayotenda, Ndo maana zikaabdaliwa sheria kujua kwa kuzingatia kuwa uhalifu huwezi kukoma, kila siku si unasikia watu.wanahukumiwa mpaka vifungo vya maisha kwa ulawiti je ulawiti umeisha. Kila mtu anamtizamo wake na namna ya kupokea na kushughulika na mambo mbalimbali. Kifupi mimi nainjoy sana kesi na zipenda mno
Huwezo wako umefikia nadhani mimi si level zako, nimekuja hapa kwa malengo ya create awareness kwa watu.Wewe acha majigambo ya kidwanzi, ungekuwa serious ungeleta hapa kesi namba yako ulosajiri mahakamani, huna lolote zaidi ya kumaliza machungu yako kwa kuandika thread.
Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.Huwezo wako umefikia nadhani mimi si level zako, nimekuja hapa kwa malengo ya create awareness kwa watu.
Jambo la pili hili tukio limetokea kuanzia jumatatu wakati niko kwenye issue zangu nyingine mikoani kwa hivo kwa sasa tayari nimerudi Dar na hili naanza nalo jmtatu, wewe tukana kejeli lkn hiyo haiondoi msimamo wangu wa kufungua kesi ya jinai na madai
Sorry I careless iwe wengine wameandika hawajaandika haininyimi mimi haki ya kuongea ndo maana ya hili jukwaa.Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Hii mimi nimeipenda, nataman kusikia na niko tayar kufuatilia mwenendo wa kesi hiii itakuwa fundisho kubwa saanaIssue yangu si kamali na wala sina shida nao kabisa. Shida yangu kwa nini TCRA wameruhusu hawa watu kuingilia mawasiliano ya watu, aliyekopa ni Emmanuel kwa nini kumsumbua Athumani kwa sababu tu wana access na simu Emmanuel na kwa kuwa Athumani aliwahi kuwasiliana na Emmanuel basi Tayari Athumani anaitwa mdhamini??? How?
Kesi siyo mlango kuwa unaingiza funguo na kufungua. Nimeshakwqmbia jmatu nikiwasha. Nimeshajua ofisi za hao jamaa zako zilipo so nikwenda mahakamani na kuwapelekea summon basi.Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Wee kaa kwa kutulia tuUnajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Najua mko humu pia mnapima upepo mimi yule ambaye baada ya sms ya kwanza tu niliwandikia sms kuwa mimi sihusiki na huyo mtu mliyemkopesha hivo sihusiki na sitaki usumbufu, mkasema sawa. Lakini baada ya hapo mkaandelea kubadilisha namba na wapigaji.Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Unataka kurogwa wewe Siyo bureNdugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum.
Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi gani sijui. Kilichotokea ni kupokea sms kutoka namba 0699 065 342 ikinijulisha kuwa kuna mtu alikopa hela na kuniweka mimi mdhamini. Na kwakuwa nilishapata taarifa za hawa watu nikawajibu kistaraabu tu kuwa huyo mtu mnayemsema simjui hivo mtafuteni wenyewe.
Baada ya siku moja akaibuka tena mtu mwingine mwenye namba 0622 297127 huyu yeye tofauti na yule awali alipiga simu hoja zikawa zile zile kuwa nimemdhamini mtu mkopo na amewatapeli hivo nami nimhusika wa huo utapeli. Nikamwuliza unajua sifa za mtu kuitwa mdhamini? Na je kabla ya kukubali kwamba mimi ni mdhamini mlipata consent yangu? kuna mahali nilisaini? Baada ya hapo kilichofuata ni matusi ya nguoni. nilichofanya na kwa kuwa nilitarajia atatukana hivo nilirekodi kila kitu. Baada ya hapo nikaenda kweny App husika iliyotajwa kwa jina la Ustawi Loan, nikapitia privacy Policy nikagundua uhuni mwingi sana kwenye hizi App, uhuni mmoja nikuingilia mawasiliano ya watu, hizi App zinachukuwa taarifa za mkopaji kwa maana ya sms na ku access camera.
Swali ni moja tu kwa nini TCRA imerhusu huu ujinga, yaani usalama wetuuko wapi kama mhuni mmoja kutoka makumbusho akisimamiwa na wachina ana uwezo wa kuingilia mawasiliano ya faragha ya watu kisa kuna mtu amekopa kwao. Fine mtu amekopa kwa nini third party nihusishwe na huu upuuzi.
Haya leo tena mjinga mmoja katuma sms akitumia namba 0789 713 573 huyu naye kajitambulisha eti anatoka PESA CASH naye hoja zake ni zile zile nimejaribu kumwuliza mhusika ulikopa shilingi ngapi na lini? anasema alikopa shilingi elfu 50 wiki moja iliyopita lakini mpaka jumatatu iliyopita alikuwa anadaiwa 130K haya kuhusu hii App ya pili yeye anasema hajakopa chochote kwao lakini wao wanasema wanamdai 168K kwa uchunguzi wangu mfupi nimegundua hizi APP zaidi ya 30 ziko chini ya mwamvuli mmoja.
Ikiwa wako kisheria mimi sina shida nao, shida yangu ni kwa nini TCRA wameruhusu wahuni kuchezea Privacy zetu? Na hawa walivowajinga wanatumia namba walizosajili wao binafsi. Kwa takribani wiki nzima natafuta mawasiliano na TCRA lakini kila nikipiga simu naishia kusikilizishwa mziki tu.
Najipanga kuwashitaki mimi huwa sina issue ndogo very soon mtanisikia nikiwa nao mahakamani. Katika hili wala sihitaji mwanasheria nasimima nao mwenyewe.
EFM wao wameongeza na wachungaji feki. Jana nilikuwa nawasikiliza nikabaki nasikitikaMh[emoji849].
FF Kuna mwandishi wa riwaya mojawapo inaitwa JIJI LA KAMALI.
Kiukweli Nchi ishakuwa mfu mkuu.
Hakuna kituo chochote Cha habari Nchi hii iwe Tv ama Redio Cha Serikali ama Binafsi ambacho hakichezeshi KAMALI.
Kiufupi mkuu Nchi ishaoza.
TBC TAIFA inachezesha KAMALI je wengine[emoji1659].
Mkuu madudu mengi,sijui tunaenda wapi.
TCRA unadhani hawajui.
Hilo halijafanyika. Kila simu inayoingia kwangu na kutoka Iko recorded automaticallyMleta mada naomba ufafanuzi umewezaje kurekodi mazungumzo baada ya kuwa umepigiwa simu na hao jamaa? Maana siku hizi TCRA imewaelekeza watu wa mitandao ku-disable functionality ya kurekodi mazungumzo kupitia simu inayotumika kwenye mazungumzo husika.
Sawa kila lakheri, utakuwa umefanya kitu kikubwa kwa niaba ya maelfu ya watu wengine wengi walioishia kulalamika tu jf.Kesi siyo mlango kuwa unaingiza funguo na kufungua. Nimeshakwqmbia jmatu nikiwasha. Nimeshajua ofisi za hao jamaa zako zilipo so nikwenda mahakamani na kuwapelekea summon basi.
Wee kaa kwa kutulia tu
Kwenye hizo app ni wakopaji ndio wanaruhusu access za mawasiliano yao hasa contacts na kila kitu! Watanzania hatu utamaduni wa kusoma masharti ya vitu tunavyo vitaka huwa tuna harakia kufika mwisho….Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum.
Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi gani sijui. Kilichotokea ni kupokea sms kutoka namba 0699 065 342 ikinijulisha kuwa kuna mtu alikopa hela na kuniweka mimi mdhamini. Na kwakuwa nilishapata taarifa za hawa watu nikawajibu kistaraabu tu kuwa huyo mtu mnayemsema simjui hivo mtafuteni wenyewe.
Baada ya siku moja akaibuka tena mtu mwingine mwenye namba 0622 297127 huyu yeye tofauti na yule awali alipiga simu hoja zikawa zile zile kuwa nimemdhamini mtu mkopo na amewatapeli hivo nami nimhusika wa huo utapeli. Nikamwuliza unajua sifa za mtu kuitwa mdhamini? Na je kabla ya kukubali kwamba mimi ni mdhamini mlipata consent yangu? kuna mahali nilisaini? Baada ya hapo kilichofuata ni matusi ya nguoni. nilichofanya na kwa kuwa nilitarajia atatukana hivo nilirekodi kila kitu. Baada ya hapo nikaenda kweny App husika iliyotajwa kwa jina la Ustawi Loan, nikapitia privacy Policy nikagundua uhuni mwingi sana kwenye hizi App, uhuni mmoja nikuingilia mawasiliano ya watu, hizi App zinachukuwa taarifa za mkopaji kwa maana ya sms na ku access camera.
Swali ni moja tu kwa nini TCRA imerhusu huu ujinga, yaani usalama wetuuko wapi kama mhuni mmoja kutoka makumbusho akisimamiwa na wachina ana uwezo wa kuingilia mawasiliano ya faragha ya watu kisa kuna mtu amekopa kwao. Fine mtu amekopa kwa nini third party nihusishwe na huu upuuzi.
Haya leo tena mjinga mmoja katuma sms akitumia namba 0789 713 573 huyu naye kajitambulisha eti anatoka PESA CASH naye hoja zake ni zile zile nimejaribu kumwuliza mhusika ulikopa shilingi ngapi na lini? anasema alikopa shilingi elfu 50 wiki moja iliyopita lakini mpaka jumatatu iliyopita alikuwa anadaiwa 130K haya kuhusu hii App ya pili yeye anasema hajakopa chochote kwao lakini wao wanasema wanamdai 168K kwa uchunguzi wangu mfupi nimegundua hizi APP zaidi ya 30 ziko chini ya mwamvuli mmoja.
Ikiwa wako kisheria mimi sina shida nao, shida yangu ni kwa nini TCRA wameruhusu wahuni kuchezea Privacy zetu? Na hawa walivowajinga wanatumia namba walizosajili wao binafsi. Kwa takribani wiki nzima natafuta mawasiliano na TCRA lakini kila nikipiga simu naishia kusikilizishwa mziki tu.
Najipanga kuwashitaki mimi huwa sina issue ndogo very soon mtanisikia nikiwa nao mahakamani. Katika hili wala sihitaji mwanasheria nasimima nao mwenyewe.
Hata Leseni kutoka BOT wanayoHao watu wana LESENI YA BANK, hao peleka BOT ndio dawa yao.