FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Vipi kuhusu yeye kutohusishwa jwenye kukopa ila anasumbuliwa?Kabla hujafika TCRA laumu upuuzi wa watanzania kutumia app bila kusoma privacy terms, kisha laumu waTz kukopa kopa ovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu yeye kutohusishwa jwenye kukopa ila anasumbuliwa?Kabla hujafika TCRA laumu upuuzi wa watanzania kutumia app bila kusoma privacy terms, kisha laumu waTz kukopa kopa ovyo
Hizo taasisi zisizo na leseni zinaachwa vipi na TCRA?
Inayonipigia simu si APP ni mtu, swali why anipigie mimi simu kama mdhamini wa mtu fulani kisa tu APP imemsaidia kupata namba yangu? Lakini pia hata ukiwaelewesha wanaishia kukutukana hiyo ndo concern namba moja.Kwenye hizo app ni wakopaji ndio wanaruhusu access za mawasiliano yao hasa contacts na kila kitu! Watanzania hatu utamaduni wa kusoma masharti ya vitu tunavyo vitaka huwa tuna harakia kufika mwisho….
App nyingi huwa zinakipengele kinauliza “ Allow app to access your contancts and other details? “ sasa watanzania kwakuwa haraka ni kufika mwisho hivyo ni mwendo wa kubonyeza “YES” kwa hiyo applications zina track na kuchukua kila kitu kwenye simu yake na wengine hata location wanaweka on….
Shida sio apps shida ni sisi wenyewe ndio tunawaponza wengine kwa kuingia kichwa kichwa
Mimi sina issue na biashara zao, shida yangu nikutaka kukomesha hii strategy yao kwamba unamkopesha mtu hela bila kujua uwezo wake wa kulipa, bila dhamana ukitegemea kusumbua watu wasiohusika kwa kuwaita wadhamini.Hao watu wana LESENI YA BOT?, HAao peleka BOT ndio dawa yao.
Ushafungua hiyo kesi mkuu maana na mimi ni mhanga wa hili suala?Mimi sina issue na biashara zao, shida yangu nikutaka kukomesha hii strategy yao kwamba unamkopesha mtu hela bila kujua uwezo wake wa kulipa, bila dhamana ukitegemea kusumbua watu wasiohusika kwa kuwaita wadhamini.
NakaziaAll in all watanzania tupunguze kuendekeza njaa na kukopa mikopo umiza inayotuletea fedheha kwa watu wetu.
Na kama umeamua kukopa basi lipa kwa muliopangiana kuepuka kudhalilishana.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nendeni BOT wakubwaUshafungua hiyo kesi mkuu maana na mimi ni mhanga wa hili suala?
Hali ni mbaya kiukweli.Ukweli usemweEFM wao wameongeza na wachungaji feki. Jana nilikuwa nawasikiliza nikabaki nasimitika
Tunarudi mule mule mkuu,inaitwa KIATU & BUTI.Issue yangu si kamali na wala sina shida nao kabisa. Shida yangu kwa nini TCRA wameruhusu hawa watu kuingilia mawasiliano ya watu, aliyekopa ni Emmanuel kwa nini kumsumbua Athumani kwa sababu tu wana access na simu Emmanuel na kwa kuwa Athumani aliwahi kuwasiliana na Emmanuel basi Tayari Athumani anaitwa mdhamini??? How?
Sasa wewe unafikiri hizo app zinamilikiwa na kuongozwa na nani? DuuInayonipigia simu si APP ni mtu, swali why anipigie mimi simu kama mdhamini wa mtu fulani kisa tu APP imemsaidia kupata namba yangu? Lakini pia hata ukiwaelewesha wanaishia kukutukana hiyo ndo concern namba moja.
Namba mbili kuna App kibao tunazitumia kwenye simu zetu ni kweli zina access lakini ulishaona third parties wanakuwa harrased? TCRA bado ana wajibu wa kushughulika na hili jambo.
Wee ndo hujaelewa na ndo maana nikasema sishughuliki na App nashughulika na mtu aliyepiga simu au aliyesajiri namba iliyotumika kupiga simu. Anzia mjadala ulikoanzia ndo ucommentSasa wewe unafikiri hizo app zinamilikiwa na kuongozwa na nani? Duu
Wachina tukae nao mbali! Tcra ukiikosoa ccm ndio watafufuka!Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum.
Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi gani sijui. Kilichotokea ni kupokea sms kutoka namba 0699 065 342 ikinijulisha kuwa kuna mtu alikopa hela na kuniweka mimi mdhamini. Na kwakuwa nilishapata taarifa za hawa watu nikawajibu kistaraabu tu kuwa huyo mtu mnayemsema simjui hivo mtafuteni wenyewe.
Baada ya siku moja akaibuka tena mtu mwingine mwenye namba 0622 297127 huyu yeye tofauti na yule awali alipiga simu hoja zikawa zile zile kuwa nimemdhamini mtu mkopo na amewatapeli hivo nami nimhusika wa huo utapeli. Nikamwuliza unajua sifa za mtu kuitwa mdhamini? Na je kabla ya kukubali kwamba mimi ni mdhamini mlipata consent yangu? kuna mahali nilisaini? Baada ya hapo kilichofuata ni matusi ya nguoni. nilichofanya na kwa kuwa nilitarajia atatukana hivo nilirekodi kila kitu. Baada ya hapo nikaenda kweny App husika iliyotajwa kwa jina la Ustawi Loan, nikapitia privacy Policy nikagundua uhuni mwingi sana kwenye hizi App, uhuni mmoja nikuingilia mawasiliano ya watu, hizi App zinachukuwa taarifa za mkopaji kwa maana ya sms na ku access camera.
Swali ni moja tu kwa nini TCRA imerhusu huu ujinga, yaani usalama wetuuko wapi kama mhuni mmoja kutoka makumbusho akisimamiwa na wachina ana uwezo wa kuingilia mawasiliano ya faragha ya watu kisa kuna mtu amekopa kwao. Fine mtu amekopa kwa nini third party nihusishwe na huu upuuzi.
Haya leo tena mjinga mmoja katuma sms akitumia namba 0789 713 573 huyu naye kajitambulisha eti anatoka PESA CASH naye hoja zake ni zile zile nimejaribu kumwuliza mhusika ulikopa shilingi ngapi na lini? anasema alikopa shilingi elfu 50 wiki moja iliyopita lakini mpaka jumatatu iliyopita alikuwa anadaiwa 130K haya kuhusu hii App ya pili yeye anasema hajakopa chochote kwao lakini wao wanasema wanamdai 168K kwa uchunguzi wangu mfupi nimegundua hizi APP zaidi ya 30 ziko chini ya mwamvuli mmoja.
Ikiwa wako kisheria mimi sina shida nao, shida yangu ni kwa nini TCRA wameruhusu wahuni kuchezea Privacy zetu? Na hawa walivowajinga wanatumia namba walizosajili wao binafsi. Kwa takribani wiki nzima natafuta mawasiliano na TCRA lakini kila nikipiga simu naishia kusikilizishwa mziki tu.
Najipanga kuwashitaki mimi huwa sina issue ndogo very soon mtanisikia nikiwa nao mahakamani. Katika hili wala sihitaji mwanasheria nasimima nao mwenyewe.
MTz na kusoma wapi na wapi? Wao ni njia za mkato, na kukimbilia pesa wanazofikiri ni za bure wakati hawana hata njia ya kurudisha.Kabla hujafika TCRA laumu upuuzi wa watanzania kutumia app bila kusoma privacy terms, kisha laumu waTz kukopa kopa ovyo
Nitarudi bado napambana.Tunasubiri mrejesho ndugu
Tumia au shirikiana na mwanasheria kuongeza uhakika wa kushinda na kiwango Cha fineNdugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum.
Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi gani sijui. Kilichotokea ni kupokea sms kutoka namba 0699 065 *** ikinijulisha kuwa kuna mtu alikopa hela na kuniweka mimi mdhamini. Na kwakuwa nilishapata taarifa za hawa watu nikawajibu kistaraabu tu kuwa huyo mtu mnayemsema simjui hivo mtafuteni wenyewe.
Baada ya siku moja akaibuka tena mtu mwingine mwenye namba 0622 297*** huyu yeye tofauti na yule awali alipiga simu hoja zikawa zile zile kuwa nimemdhamini mtu mkopo na amewatapeli hivo nami nimhusika wa huo utapeli. Nikamwuliza unajua sifa za mtu kuitwa mdhamini? Na je kabla ya kukubali kwamba mimi ni mdhamini mlipata consent yangu? kuna mahali nilisaini? Baada ya hapo kilichofuata ni matusi ya nguoni. nilichofanya na kwa kuwa nilitarajia atatukana hivo nilirekodi kila kitu. Baada ya hapo nikaenda kweny App husika iliyotajwa kwa jina la Ustawi Loan, nikapitia privacy Policy nikagundua uhuni mwingi sana kwenye hizi App, uhuni mmoja nikuingilia mawasiliano ya watu, hizi App zinachukuwa taarifa za mkopaji kwa maana ya sms na ku access camera.
Swali ni moja tu kwa nini TCRA imerhusu huu ujinga, yaani usalama wetuuko wapi kama mhuni mmoja kutoka makumbusho akisimamiwa na wachina ana uwezo wa kuingilia mawasiliano ya faragha ya watu kisa kuna mtu amekopa kwao. Fine mtu amekopa kwa nini third party nihusishwe na huu upuuzi.
Haya leo tena mjinga mmoja katuma sms akitumia namba 0789 713 *** huyu naye kajitambulisha eti anatoka PESA CASH naye hoja zake ni zile zile nimejaribu kumwuliza mhusika ulikopa shilingi ngapi na lini? anasema alikopa shilingi elfu 50 wiki moja iliyopita lakini mpaka jumatatu iliyopita alikuwa anadaiwa 130K haya kuhusu hii App ya pili yeye anasema hajakopa chochote kwao lakini wao wanasema wanamdai 168K kwa uchunguzi wangu mfupi nimegundua hizi APP zaidi ya 30 ziko chini ya mwamvuli mmoja.
Ikiwa wako kisheria mimi sina shida nao, shida yangu ni kwa nini TCRA wameruhusu wahuni kuchezea Privacy zetu? Na hawa wal
Najipanga kuwashitaki mimi huwa sina issue ndogo very soon mtanisikia nikiwa nao mahakamani. Katika hili wala sihitaji mwanasheria nasimima nao mwenyewe.
Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo
Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...www.jamiiforums.com