TCRA mmeamua kuuza utu wetu kwa wahuni wa App za mikopo mtandaoni

Mleta mada naomba ufafanuzi umewezaje kurekodi mazungumzo baada ya kuwa umepigiwa simu na hao jamaa? Maana siku hizi TCRA imewaelekeza watu wa mitandao ku-disable functionality ya kurekodi mazungumzo kupitia simu inayotumika kwenye mazungumzo husika.
Mimi mbona kwangu inakubali kurecord fresh tu
 
Unadhani hizo msg wewe ndio wa kwanza kupokea? Ama wewe ndio wa kwanza kuanzisha thread ya malalamiko haya humu jf? Nakwambia tena bila mwanasheria hutoboi, tafuta lawyer atengeneze kesi nzuri.
Kitu ambacho huelewi mimi siishi kwa kuangalia nani kafanya nini, na huwa siohopi kupoteza muda kwa ajili ya kesi. Kama kuna wengine nao wametumiwa na wakalubaliana hiyo haimaniiahi kuwa inaondoa jinai wanayotenda, Ndo maana zikaabdaliwa sheria kujua kwa kuzingatia kuwa uhalifu huwezi kukoma, kila siku si unasikia watu.wanahukumiwa mpaka vifungo vya maisha kwa ulawiti je ulawiti umeisha. Kila mtu anamtizamo wake na namna ya kupokea na kushughulika na mambo mbalimbali. Kifupi mimi nainjoy sana kesi na zipenda mno
 
Wewe acha majigambo ya kidwanzi, ungekuwa serious ungeleta hapa kesi namba yako ulosajiri mahakamani, huna lolote zaidi ya kumaliza machungu yako kwa kuandika thread.
 
Wewe acha majigambo ya kidwanzi, ungekuwa serious ungeleta hapa kesi namba yako ulosajiri mahakamani, huna lolote zaidi ya kumaliza machungu yako kwa kuandika thread.
Huwezo wako umefikia nadhani mimi si level zako, nimekuja hapa kwa malengo ya create awareness kwa watu.
Jambo la pili hili tukio limetokea kuanzia jumatatu wakati niko kwenye issue zangu nyingine mikoani kwa hivo kwa sasa tayari nimerudi Dar na hili naanza nalo jmtatu, wewe tukana kejeli lkn hiyo haiondoi msimamo wangu wa kufungua kesi ya jinai na madai
 
Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
 
Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Sorry I careless iwe wengine wameandika hawajaandika haininyimi mimi haki ya kuongea ndo maana ya hili jukwaa.
Sijui kwa nini unatumia nguvu nyingi sana kutaka kujaribu kunionyesha kuwa haiwezekani, ndugu huwezi kubadilisha msimamo wangu. Sana sana utaingia hasara ya bundle tu, mimi Jf ninaishi angalia history ya hiyo avatar tangu nimesaini in sijawahi log off.
Nipo sana tu hapa na nitajibu kila quote yako. Bahati nzuri umekuja weekend niko free nina muda. Tuendelee
 
Hii mimi nimeipenda, nataman kusikia na niko tayar kufuatilia mwenendo wa kesi hiii itakuwa fundisho kubwa saana
 
Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Kesi siyo mlango kuwa unaingiza funguo na kufungua. Nimeshakwqmbia jmatu nikiwasha. Nimeshajua ofisi za hao jamaa zako zilipo so nikwenda mahakamani na kuwapelekea summon basi.
Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Wee kaa kwa kutulia tu
 
Unajitetea sana mkuu, awareness gani, wewe si wa kwanza kuja na thread ya malalamiko haya, fanya action, fungua kesi.
Najua mko humu pia mnapima upepo mimi yule ambaye baada ya sms ya kwanza tu niliwandikia sms kuwa mimi sihusiki na huyo mtu mliyemkopesha hivo sihusiki na sitaki usumbufu, mkasema sawa. Lakini baada ya hapo mkaandelea kubadilisha namba na wapigaji.
 
Hii ilishanikuta kwa watu wabajiita pesa × tena mimi alikuja whatsup, nikamuuliza mlikubalije kuniweka kama mdhamini pasipo lidhaa yangu ya sahihi???

Baada ya kuona nimewa mind alipokata nikampgia mimi nikawaambia nawashitaki dakika ya mwisho waliniblock na sikujua walifanyaje na mteja wao.
 
Unataka kurogwa wewe Siyo bure
 
EFM wao wameongeza na wachungaji feki. Jana nilikuwa nawasikiliza nikabaki nasikitika
 
Mleta mada naomba ufafanuzi umewezaje kurekodi mazungumzo baada ya kuwa umepigiwa simu na hao jamaa? Maana siku hizi TCRA imewaelekeza watu wa mitandao ku-disable functionality ya kurekodi mazungumzo kupitia simu inayotumika kwenye mazungumzo husika.
Hilo halijafanyika. Kila simu inayoingia kwangu na kutoka Iko recorded automatically
 
Kesi siyo mlango kuwa unaingiza funguo na kufungua. Nimeshakwqmbia jmatu nikiwasha. Nimeshajua ofisi za hao jamaa zako zilipo so nikwenda mahakamani na kuwapelekea summon basi.

Wee kaa kwa kutulia tu
Sawa kila lakheri, utakuwa umefanya kitu kikubwa kwa niaba ya maelfu ya watu wengine wengi walioishia kulalamika tu jf.
 
Kwenye hizo app ni wakopaji ndio wanaruhusu access za mawasiliano yao hasa contacts na kila kitu! Watanzania hatu utamaduni wa kusoma masharti ya vitu tunavyo vitaka huwa tuna harakia kufika mwisho….
App nyingi huwa zinakipengele kinauliza “ Allow app to access your contancts and other details? “ sasa watanzania kwakuwa haraka ni kufika mwisho hivyo ni mwendo wa kubonyeza “YES” kwa hiyo applications zina track na kuchukua kila kitu kwenye simu yake na wengine hata location wanaweka on….

Shida sio apps shida ni sisi wenyewe ndio tunawaponza wengine kwa kuingia kichwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…