TCRA mnajua usanii unaofanywa na DStv?

TCRA mnajua usanii unaofanywa na DStv?

mkuu sio ya makaburu dstv ni mbongo mwenzetu anaitwa balozi ami mpungwe ni mpogolo wa ifakara huko
Mkuu usituchanganye MultiChoice ni kampuni ya SA na huyo uliemtaja ni mwekiti wa MultiChoice tz, mmiliki kabisa wa hiyo kampuni anaitwa Imtiaz Patel.
 
Usanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini? Au kwasabb serikali yetu ni dhaifu ndiyo maana mnafanya mnavyotaka?

Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa
Kuna mzee mmoja alikuwa akiona gari limechemsha anasema ongezeni nauli
 
Wapuuzi; [emoji107] DSTV

Azam + [emoji106] wengine

Canal ?[emoji849] how, why, Inawezekanaje? Umejuaje?

[emoji15][emoji15][emoji15]How? How? How ?
Azam huwa anaangalia mdada wa kazi. Mimi sioni prgrm ya kuangalia azam. DSTV ndiyo mpango mzima. Kma hamna pesa acheni siyo nmalalamika tu. Tumien vitu vya uwezo wenu
 
walizima siku ya fInal italy vs eng ni wahuni sana hawa hata hivyo nimeshaweka pemben kisimbiz chao falaaa san hawa
Siyo fainali tu, nadhani mechi zote za nusu fainali waliiondoa
 
Wengi tunatafuta ving'amuzi kwa ajili ya kuangalia mpira. Sasa unalipia 89,000 kwa ajili ya kuangalia mechi hazizidi 10?

Na hapo channel zingine huwezi angalia kwakua unahustle so huna muda sana na tv yenyewe, ila siku za mechi unaweza kujibana bana kupata muda.

Naenda kua expert wa la liga na bundes liga.

Msaidizi wa ndani unamlipa sh ngapi?
 
Nilishatupa vin'gamuzi mda sana. GB 1 Vodacom naangalia mechi live online dk 90. Dstv washawaona wabongo mnaishobokea ndio maana wanawapiga wabongo man'gombe. Nigeria premium wanalipia tsh 50,000 sawa na Naira 8890.
 
Si kweli mimi niliangalia kwahiyo 19900 mechi zote za Euro chanel 225.
Sasa hivi Olympics itakuwa 225 na jina wamebadilisha inaitwa Olypmics Badala ya Euro 2020.
Channel 255 sio mechi zote zilionyesha. ..Hilo la kwanza ,la pili hazikua HD zilikua SD
 
Watu Masikini tuna taabu nyingi sana halafu kama ni Kipaji tulichonacho basi ni cha kupenda Kulalamika pasipo Kujiridhisha jambo fulani lenye Umuhimu na Utaratibu wake hasa Kibiashara.
Mkuu DStv wanazingua labda kama we sio mtumiaji ndo huwez elewa
 
Mkuu DStv wanazingua labda kama we sio mtumiaji ndo huwez elewa
Na umasikini wangu huu nitaitumiaje hiyo Dstv yako ( yenu ) Mkuu? Hela yenyewe tu ya Kula sina na hiyo Gharama mnayolipa huko Dstv Kwangu Mimi hiyo ni Hela yangu ya Matumizi kwa Miezi Miwili kwa Kujibanabana.

Hongera kwa kuwa na Dstv Mkuu kwani Wewe ni miongoni wa wana JamiiForums 'Matajiri' sana.
 
Cha
Si kweli mimi niliangalia kwahiyo 19900 mechi zote za Euro chanel 225.
Sasa hivi Olympics itakuwa 225 na jina wamebadilisha inaitwa Olypmics Badala ya Euro 2020.
Channel namba 225 ilikuwa inaonesha mechi moja Kwa siku alafu zile mechi ambazo hazina mvuto pia kumbuka hiyo channel sio HD...
Olympic itakuwa Kwenye 228 alafu HD
 
Na umasikini wangu huu nitaitumiaje hiyo Dstv yako ( yenu ) Mkuu? Hela yenyewe tu ya Kula sina na hiyo Gharama mnayolipa huko Dstv Kwangu Mimi hiyo ni Hela yangu ya Matumizi kwa Miezi Miwili kwa Kujibanabana.

Hongera kwa kuwa na Dstv Mkuu kwani Wewe ni miongoni wa wana JamiiForums 'Matajiri' sana.
Aisee unaongea Sana mpaka unapitiliza hauna tofauti na mtoto wa form 2
 
Back
Top Bottom