TCRA mnajua usanii unaofanywa na DStv?

TCRA mnajua usanii unaofanywa na DStv?

Wengi tunatafuta ving'amuzi kwa ajili ya kuangalia mpira. Sasa unalipia 89,000 kwa ajili ya kuangalia mechi hazizidi 10?

Na hapo channel zingine huwezi angalia kwakua unahustle so huna muda sana na tv yenyewe, ila siku za mechi unaweza kujibana bana kupata muda.

Naenda kua expert wa la liga na bundes liga.

Msaidizi wa ndani unamlipa sh ngapi?
Hiyo ndio shida ulipe 89000 au 49000 wakati mchana upo kazini na game nyingi nzuri ni mchana
 
Nilishatupa vin'gamuzi mda sana. GB 1 Vodacom naangalia mechi live online dk 90. Dstv washawaona wabongo mnaishobokea ndio maana wanawapiga wabongo man'gombe. Nigeria premium wanalipia tsh 50,000 sawa na Naira 8890.
Unatumia app gani kuchek
 
Wawaulize Posta na Simu.
Leo wanakaili ya
"Rudi nyumbani kumenoga"
Azam atawanyoosha,
hata ulipe compact utakuta sometime channel iliyokuwepo wametoa as if wanakupa fadhila.
Nilikuwa na DSTV 2 moja Dish nitawapa wakaanga samaki watumie, lkn nimesikia linaingiliana na AZAM itakuwa dish Dstv kisimbusi kwa room ni Azam. Maambegesi
 
Nilishatupa vin'gamuzi mda sana. GB 1 Vodacom naangalia mechi live online dk 90. Dstv washawaona wabongo mnaishobokea ndio maana wanawapiga wabongo man'gombe. Nigeria premium wanalipia tsh 50,000 sawa na Naira 8890.
Gb 1 haumalizi mechi.
 
Unatumia app gani kuchek
Siyo app ni website

Kabla bando hazijawa ishu nilikua naangalia mechi kupitia hesgoal.com ila gb 1 haumalizi mechi labda isiwe 4G so iwe inakukwamia kwamia
 
Natamani itokee siku moja Azam akapata rights za kuonyesha mechi za EPL hata kama sio zote lakin baadhi tuu

iyo siku ntajirekodi hadharani nikichoma moto decoder ya DSTV pamoja na dish lake kabisaaaaaa...

DSTV ni stupidy sanaaaa,nawavumlilia kwa sababu ya EPL tu,na si vinginevyo
 
Na pia sina tofauti vile vile na akukazae.
Umekuja mjini juzi siwez kubishana na Fala,nimekuzidi Kwa kila kitu.
Bado ni mshamba Tu tena Sana kama bado unaona matusi ndiyo ujanja basi wewe uko nyuma Sana kimaisha hata jinsi unavyotukana inaonesha namna gani bado upo chini Sana kimaisha
 
Na umasikini wangu huu nitaitumiaje hiyo Dstv yako ( yenu ) Mkuu? Hela yenyewe tu ya Kula sina na hiyo Gharama mnayolipa huko Dstv Kwangu Mimi hiyo ni Hela yangu ya Matumizi kwa Miezi Miwili kwa Kujibanabana.

Hongera kwa kuwa na Dstv Mkuu kwani Wewe ni miongoni wa wana JamiiForums 'Matajiri' sana.
Msela-mavi lazima urukie ishu ambazo hujui ilimradi na wewe uonekane mjanja wewe bado ni WA kuja tuuu....
Bado unaishi kizamani Sana Kwa style ya usela mavi,matusi Sana ndiyo ujanja
 
Endeleeni kuugulia maumivu huko watu wakipita kwako wakiona una dish la dstv wanaona wewe ni tajiri na unafaidi.

Tuwe tunasoma vigezo na masharti vya makampuni mbalimbali kwa huduma husika, mara nyingi baadhi ya makampuni yana ubabaishaji sana hapa bongo.
 
YES! TV......Utamu mpaka Kisogoni, endeleeni kuumia huko!
 
TCRA WARUHUSU CANAL SPORTS TANZANIA IENEE KOTE HATA KAMA WANATANGAZA KIFARANSA GHARAMA ZAO NI NAFUU KULIKO HAWA WASHENZI DSTV!!!
Ingesaidia Sana.. CANAL SPORTS ziko poa Sana hasa ukichek Kwenye simu
 
Back
Top Bottom