Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Wenye hela wana faidi sana aisee
Mkuu usituchanganye MultiChoice ni kampuni ya SA na huyo uliemtaja ni mwekiti wa MultiChoice tz, mmiliki kabisa wa hiyo kampuni anaitwa Imtiaz Patel.mkuu sio ya makaburu dstv ni mbongo mwenzetu anaitwa balozi ami mpungwe ni mpogolo wa ifakara huko
Daa umefanya nicheke sana mzee tutafute hela kama wanavyosema wenyewe, kiukweli package ya 19900 haina mizuka kabisa yani.Ukilipia hio hata wife haendi kuzurura[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mzee mmoja alikuwa akiona gari limechemsha anasema ongezeni nauliUsanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini? Au kwasabb serikali yetu ni dhaifu ndiyo maana mnafanya mnavyotaka?
Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa
Azam huwa anaangalia mdada wa kazi. Mimi sioni prgrm ya kuangalia azam. DSTV ndiyo mpango mzima. Kma hamna pesa acheni siyo nmalalamika tu. Tumien vitu vya uwezo wenuWapuuzi; [emoji107] DSTV
Azam + [emoji106] wengine
Canal ?[emoji849] how, why, Inawezekanaje? Umejuaje?
[emoji15][emoji15][emoji15]How? How? How ?
Mnooooo...49,000/= kila mwezi ni nyingi Sana
Siyo fainali tu, nadhani mechi zote za nusu fainali waliiondoawalizima siku ya fInal italy vs eng ni wahuni sana hawa hata hivyo nimeshaweka pemben kisimbiz chao falaaa san hawa
Sawa bossMsilazimishe mambo. DSTV ni ya wadosi sio nyie makapuku.
Channel 255 sio mechi zote zilionyesha. ..Hilo la kwanza ,la pili hazikua HD zilikua SDSi kweli mimi niliangalia kwahiyo 19900 mechi zote za Euro chanel 225.
Sasa hivi Olympics itakuwa 225 na jina wamebadilisha inaitwa Olypmics Badala ya Euro 2020.
Mkuu DStv wanazingua labda kama we sio mtumiaji ndo huwez elewaWatu Masikini tuna taabu nyingi sana halafu kama ni Kipaji tulichonacho basi ni cha kupenda Kulalamika pasipo Kujiridhisha jambo fulani lenye Umuhimu na Utaratibu wake hasa Kibiashara.
Na umasikini wangu huu nitaitumiaje hiyo Dstv yako ( yenu ) Mkuu? Hela yenyewe tu ya Kula sina na hiyo Gharama mnayolipa huko Dstv Kwangu Mimi hiyo ni Hela yangu ya Matumizi kwa Miezi Miwili kwa Kujibanabana.Mkuu DStv wanazingua labda kama we sio mtumiaji ndo huwez elewa
Channel namba 225 ilikuwa inaonesha mechi moja Kwa siku alafu zile mechi ambazo hazina mvuto pia kumbuka hiyo channel sio HD...Si kweli mimi niliangalia kwahiyo 19900 mechi zote za Euro chanel 225.
Sasa hivi Olympics itakuwa 225 na jina wamebadilisha inaitwa Olypmics Badala ya Euro 2020.
Aisee unaongea Sana mpaka unapitiliza hauna tofauti na mtoto wa form 2Na umasikini wangu huu nitaitumiaje hiyo Dstv yako ( yenu ) Mkuu? Hela yenyewe tu ya Kula sina na hiyo Gharama mnayolipa huko Dstv Kwangu Mimi hiyo ni Hela yangu ya Matumizi kwa Miezi Miwili kwa Kujibanabana.
Hongera kwa kuwa na Dstv Mkuu kwani Wewe ni miongoni wa wana JamiiForums 'Matajiri' sana.
Acha kutetea ujinga, hapo amezinguaThe boss anajibugi poa hila katika hili kachemka, dstv wamekuwa wana ujinga ujinga mwingi sana sikuizi yani mda wowote wanaweza hamisha channel wakijisikia.
ThanksTelegram search Canal+ Makao Makuu Burundi utapata details zote
Sifa kutoka kwa watumiajiWapuuzi; [emoji107] DSTV
Azam + [emoji106] wengine
Canal ?[emoji849] how, why, Inawezekanaje? Umejuaje?
[emoji15][emoji15][emoji15]How? How? How ?