Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.
Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.
Mmenipa hasara kubwa sana.
Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.