TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

Lalamika kwa wenye hiyo app ya VPN Kupitia settings zao watakufungulia faster uzuri wanajua Tanzania kuna tatizo
Ni kweli dunia Leo macho yao yako Tanzania vpn yangu ilianza kuchokonolewa nikatumiwa setting code faster....
 
Habari mkuu, hebu nielekeze hio VPN inafungua WhatsApp? Ninawezaje kuingia katika VPN?
 
Back
Top Bottom