TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
Ila kweli ni upeo mdogo sana kuwakomoa watanzania wote kwa sababu ya wahalifu wachache.
Washauri wao hawajielewi
 
wale ambao huwa hamumuani Kigogo naona akili imewakaa sawa sasa. aliandika sana kuhusu suala la kuzimwa mitandao na wapo waliombishia.
Nenda twitter huko Aibu tupu [emoji3] walifikir kigogo anaongea ngonjera
 
Ukiona mtu ana roho mbaya (hasa kiongozi) ujue huyo sio msukuma hata kama anaongea kisukuma huyo sio msukuma
Meko pia sio msukuma niamini bwashee
Itabidi mtani wangu Pascal aniambie hii toleo jipwa la Wasukuma wa CCM mpya limetoka wapi? Nimeishi na Wasukuma hawana tabia za kikatili.

Zaidi ya ushamba wa kununua shati la "Shikibo" kwa shilingi alfu hamsini wakishavuna pamba walikuwa hawana tatizo na mtu. Nimefanya kazi na mzee wangu marehemu Nkwabi Ng’wanakilala alikuwa muungwana kiasi ambacho wazaramo wote aliofanya nao kazi hawatamsahau!
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
We kama mfanya biashara hukupata fununu kuwa kutakuwa na huu mkwamo? Mkapewa na mbinu mbadala. Sasa unalialia. Next time jiongeze
 
Google haifunguki mkuu
Kuna shida mahali, Kama wewe ni mtu wa siasa Kali na antimagufuli, nakushauri achana na hizo VPN..ridhika kwanza na hapa JF Hadi pale watakapo release

Nimeanza kusikia 'harufu ya kudukuliwa' watu hapa.
 
Njia ni kama ifuatavyo

Kitu cha kwanza jaribu kuingia google kupitia opera au chrome au uc mini au nyingijnezo yaani jaribu kuingia google kupitia hizo njia google ikifunguka tu yaani hakikisha google search inafunguka google ikifunguka kati ya hizo fuata hatua ya 2

Hatua hiyo ni kudownload vpn kwa google unadownload kupitia google kwa sababu playstore au appstore pashafeli download huko kwenye google kisha ukishadownload install

Pia usisahau kuallow installation from unknown sources

Kila la kheri!
 
Attachments

  • 4A701028-E16B-4CAE-9EB7-A18608A8BF3E.jpeg
    4A701028-E16B-4CAE-9EB7-A18608A8BF3E.jpeg
    126.6 KB · Views: 2
Kuna shida mahali, Kama wewe ni mtu wa siasa Kali na antimagufuli, nakushauri achana na hizo VPN..ridhika kwanza na hapa JF Hadi pale watakapo release

Nimeanza kusikia 'harufu ya kudukuliwa' watu hapa.
Ni kweli mkuu teknoji zinashindana Cha msingi ukigundua tu kudukuliwa restart simu, na utajuaje Kuna neno lolote utaletewa na vpn ukichelewa funguo ikipotea kwenye screen ujue umeanza kuonekana ulipo, restart Rudi hewani wataanza upya ukiona tena restart Sasa watashinda na wewe[emoji23]
 
kama ni VPN simu yangu ilireject toka Jana.

labda kama kuna mpya

nenda kwenye settings ya vpn yako then itatuma e-mail yeyenyewe Tanzania problem then itaji connect
 
nenda kwenye settings ya vpn yako then itatuma e-mail yeyenyewe Tanzania problem then itaji connect
simu yangu haipokei VPN au app yoyote inayohusiana na google
 
Back
Top Bottom