TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

Ataendelea kuwepo muda mrefu tu,ataondoka 2026.
Kwa kweli itashangaza watu kupiga kura kuendelea na adha kama hizi.

Naamini yule malaika wa kuzima mitandao anaweza.kuwa ndio amefika,sijui kama ataondoka hivi karibuni
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
Sasa umeshajua cha kufanya, huwezi kumpa nchi mtu anaekupa hasara kiasi hicho

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Dash hii kitu inaumiza wengi basi tu...

Nna order ilibidi niwasiliane na mchina kuconfirm kesho,

na Pesa za watu mkononi,
ikiendelea wiki nitakuta mChina ananisubiri?!

Watu watanielewa?!

mbona siasa za wachache zinatuumiza hivi!!

Daah kati ya Siku nimegundua nipo kwenye Rubbish country ni leo
Hakikisha hufanyi makosa sasa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
pole tumia emails
 
Hakuna kura za huruma, kichapo kipo palepale. Magufuli Babalao
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
Kwangu whatsap iko mukide😅😅😅😅
 
Kuzima mitandao kwa sababu za kiusalama ni bora zaid kuliko hasara uliyoingiza maana bila amani biashara huwez ifanya
 
Halafu kuna wapuuzi wanasema ukaipigie CCM kura. Pathetic
Kwani ccm ndo imezima mitandao, mnakwama wapi ninyi wapinzani ambao hamjui kutofautisha kati ya CCM na taasisi za serikali.

Mimi hapa Niko njiani naenda kuipigia kura CCM kwa ngazi zote
 
Mjipange wakuu... huduma itarudi baada ya tarehe 11 November.
 
Kwani ccm ndo imezima mitandao, mnakwama wapi ninyi wapinzani ambao hamjui kutofautisha kati ya CCM na taasisi za serikali.

Mimi hapa Niko njiani naenda kuipigia kura CCM kwa ngazi zote
Kwenye masuala ya kijinga ndio mnakuja kutueleza kuwa ni tofauti eegh, kwenye upuuzi meeingine mnsjigamba kuwa ni serikali ya ccm
 
Dash hii kitu inaumiza wengi basi tu...

Nna order ilibidi niwasiliane na mchina kuconfirm kesho,

na Pesa za watu mkononi,
ikiendelea wiki nitakuta mChina ananisubiri?!

Watu watanielewa?!

mbona siasa za wachache zinatuumiza hivi!!

Daah kati ya Siku nimegundua nipo kwenye Rubbish country ni leo
Hapo ndo huwa mnakosea, eti "siasa za watu wachache". Siasa haikwepeki. Siasa ni maisha. Siasa ni kama maji, usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utayafulia, usipoyafulia utapigia deki na orodha inaendelea.
 
Back
Top Bottom