TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet, kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani. I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Pole sana Mkuu hii ndiyo Tanzania ya Viwonder.
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza Sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini Cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa Sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
 
Kwan lazima uchukue Playstore?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hii iko faster

Screenshot_20201027-202054_Shuttle VPN.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza Sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini Cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa Sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
Naona post yako ipo kama ya kiudaku hivi

Option1: wewe unamiliki Kiwanda unashindwa kuweka simu shs 10,000 kwenye simu upige hata kama ni China au marekani tena huko hiyo hela unapada madakika kibao.

Option 2: Si ungeandika tatizo la kiwanda chako hapa usaidiwe; wapo maingeneer humu wamepumzika wanasubiri kupiga kura kesho. Describe ni mashine gani, model #, inafanya kazi gani, na nini haikifanyi kwa sasa au unahitaji msaada gani.
 
Mm Kuna dem nlikua namuingiza kwenye 18 TCRA wakakata umeme kwakwli siwezi kuwasamehe.
 
Jaman TCRA tufungulieni mitandao yetu ya kijamii tunateseka biashara zetu

CCM tusaidieni kufunguka mitandao ya kjamii
Ccm tena wkt wenyewe ccm wanaona sawaa tu watupige goli la mikono
 
Back
Top Bottom