TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

Kiwanda gani kinaendeshwa Kwa sms za what's app ?? CHAI YA TANGAWIZI MKUU NDUGU
Amepata hitilafu akawa anapata maelezo ya kutatua changamoto kupitia what's up , shida ipo wapi hapo?
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
Unafiki huu
 
Ama tcra wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
Ni utopolo sana waliofanya ,sasa kubinya hiyo mitandao ya kijamii ndio suluhu? Mapato ya makampuni yanashuka kisa siasa za kishamba za MEKO.
 
Sasa ina faida gani kama wengine haipatikani au unajitext mwenyewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tatizo mnapenda kudharau tahadhari za mapema, angalia Sasa watanzania wanavyohangaika Leo wakati uwezo walikuwa nao kufanya hili mapema na kwa dk chache tu chap kwa haraka, watarudishiwa net watu washatawaza, wapinzani hata hawajulikani wametupwa wapi na lini.....mmebaki Kama yatima mnabidi muungane nao kupiga vigeregere
 
Ni utopolo sana waliofanya ,sasa kubinya hiyo mitandao ya kijamii ndio suluhu? Mapato ya makampuni yanashuka kisa siasa za kishamba za MEKO.
Uchumi ulishauwawa kitambo tu sema anaumalizia malizia tuwe Zimbabwe[emoji23]
 
Nataka nikapate kwanza mtori na Pepsi ya baridi kisha nikachukue karatasi ya kupiga kura na niweke vema(✓) kwenye jina ya mwisho

Pepsi ya baridi na mtori. Pole kwa starahe ya jana usiKu mkuu.
 
Hawa jamaa hawajui madhara yake... Mambo mengi yanakwama... As wengi wanatumia social media kama soko lao
 
Hakika Kitendo chenu Cha kuzima WhatsApp kimeniuzi na kuniumiza sana.

Nimepata hitilafu kwa mitambo ya kiwanda. Nikiwa napokea maelekezo ya Nini cha kufanya kupitia Whatsapp ghafla mmeifungia.

Mmenipa hasara kubwa sana.

Ninyi mngeacha WhatsApp. Mtu akivunja sheria mumuadhibu.
Pole sana, jaribu kuizima hadi upate maelekezo kwa njia nyingine
 
Itabidi mtani wangu Pascal aniambie hii toleo jipwa la Wasukuma wa CCM mpya limetoka wapi? Nimeishi na Wasukuma hawana tabia za kikatili.

Zaidi ya ushamba wa kununua shati la "Shikibo" kwa shilingi alfu hamsini wakishavuna pamba walikuwa hawana tatizo na mtu. Nimefanya kazi na mzee wangu marehemu Nkwabi Ng’wanakilala alikuwa muungwana kiasi ambacho wazaramo wote aliofanya nao kazi hawatamsahau!
Binafsi nimeshi sana na wasukuma na mpaka sasa marafiki zangu wengi ni wasukuma.

Ndio maana mimi, nitakuwa wa mwisho kuamini Magufuli ni Msukuma.

Watu wengi wa eneo hilo la Chato/ Biharamlo wanaongea makabila mengi tu.
 
Pole sana, jaribu kuizima hadi upate maelekezo kwa njia nyingine
Tani Tatu za bidhaa za mamilioni zimeharibika.
Nimekuwa Kama yule jamaa aliyepata kitabu Cha namna ya kurusha ndege akiwa angani akakosa page ya namna ya kushusha ndege chini.
 
Back
Top Bottom