Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kwann mnaacha Hawa watu wenye umaarufu ,wautumie Umaarufu wao kueneza habari zinazomomonyoa Maadili namna hii?.
Nini hii?? Kwanini akili zenu na Focus zote zimemtazama LISSU kasema nini mtandaon ?.
Kwanini hamlindi watoto ?? Kuna ugumu gani wa kuwalinda watoto dhidi ya unyanyaji wa kiakili wanaopitia pale wanapoiñgia mitandaoni?.
Mkishindwa Kupambana na Hawa watu, kwanini mshindwe pia hata kuwalinda watoto ?.
Hivi Kwa Video hiii, mtoto aliye chini ya miaka 21 , akiitizama ,kipi anaondoka nacho kichwan ?.
Ni kwamba ataona Shughulí za kuingiliwa Nyuma ni suala la kawaida, Shughuli za Kubadili Jinsia ni jambo la kawaida, jambo ambalo ni la hatari sana Kwa manufaa ya kizazi hiki .
Ukweli ni kwamba Serikali haipaswi kuukimbia Wajibu wao Mkuu wa kulinda Maadili ya Taifa!!
Wakuu embu Tazameni hii Video, ni Aibu na uchafu uliokithiri , unajiuliza, huko TCRA Kuna watu ?? Mbona hata marobot Kwa Sasa yanatumia AI kiasi chakuonekana Bora Kwa baadhi ya mambo kumshinda mwanadamu?.
Facebook
www.facebook.com
Sijui kama Kila MTU anaielewa Athari ya Kuruhusu vitu hivi kuzunguka Machoni na masikion Kwa watoto.
Tafadhali sana, Walindeni watoto , msione watoto miaka 6, 8 wanajinyonga, wanafanya mambo ya Hovyo kabisa, alafu mkaishia kusema Wazazi wazazi , Dini Dini.
Nchi nyingi sana Duniani, Urusi, Uchina, Ulaya, mbona wanatunga Sheria nzito nzito zinazowabana wamiliki wa hii mitandao , kuwabana Wazazi, kuwabana watoto wenyewe , Tujifunze basi kutoka kwao.
Niwasihi sana Watanzania, Muonapo watu wa namna hii, tuwakemee mara Moja