DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Mtoto wa miaka 12 -16 unapomkabidhi simu lazima umpatie na Muongozo wa kuitumia hiyo simu.Wewe ni mjinga na mpuuzi Mmoja, nimeandika Huu Uzi, ili Wahusika wachukue hatua dhidi ya hizi Online TVs zinazotumika kúsambaza mambo ya hovyo namna hiyo
Usifikirie kwa udogo wa akili , unapoingia katika mitandao ya kijamii YouTube, IG, TikTok n.k Kuna Kila aina ya Posts utazokutana nazo
Hapa Suala la msingi ni Kuhakikisha Kurasa za MTU Mmoja Mmoja au Chombo Fulani Kwa namna yoyote zinavyotumika kueneza maudhui yaliyo kinyume na Maadili ,mila na Tamaduni zetu , TCRA iwajibike kwao.
Huyo ni wewe MTU mzima , unayeweza kung'amua kinachopita machon mwako na kisikuathiri, vipi kuhusu watoto wadogo wa miaka 12 13, 14 16 ?.
Pia ukiona maudhui hayafai IPO sehemu ya Ku report kuhusu hayo maudhui na yanaondolewa mara moja
Juzi mkurugenzi wa Jamiiforum alitoa somo kuhusu hilo swala
Kuwa ukiona maudhui hayafai usiyasambaze Ila report kwa mamlaka husika private wao watayaondoa.
Je hauoni unapost hii video unazidi kusambaza huo ushoga ?
So endelea kujielimisha na kunifunza matumizi sahihi ya mitandao .