TCRA na Jeshi la Polisi Waogopa Kumchukulia Hatua Diamond Platnumz kwa Kutukana Hadharani

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa.

Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao wanalaumu serikali na amewatukana tusi la nguoni.

Kwakuwa sheria za nchi ziko wazi kuwa kutukana ni kosa linaloweza kukuingiza matatani, ni lazima watanzania tufahamu kuwa sheria HAZIWAHUSU WANA CCM WANAOMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SULUHU HASSAN hivyo tuache kulalamika na TCRA pamoja na jeshi la polisi halina meno kwa kundi hilo.

Hongera sana Diamond, wewe ni Shujaa unayeogopwa sana na mamlaka za nchi hii.
 
Msanii wa ccm huyo anawajazia nyomi kwenye mikutano ya kampeni, mjuba huoni kuwa wakimletea matata nyomi zitapungua?
 
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa.

Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao wanalaumu serikali na amewatukana tusi la nguoni.

Kwakuwa sheria za nchi ziko wazi kuwa kutukana ni kosa linaloweza kukuingiza matatani, ni lazima watanzania tufahamu kuwa sheria HAZIWAHUSU WANA CCM WANAOMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SULUHU HASSAN hivyo tuache kulalamika na TCRA pamoja na jeshi la polisi halina meno kwa kundi hilo.

Hongera sana Diamond, wewe ni Shujaa unayeogopwa sana na mamlaka za nchi hii.
Kwani ukifungua kesi wewe shida itakuwa wapi BAVICHA mlifunzwa kulalamika tu mpo mpo tu kama makalai

USSR
 
Diamond kafikia kutuita sisi watanganyika ni minduku tu 🙄🙄 kweli PDIDDY kamualibu kijana ndiyo maanaxwatu wanasemaga mashoga wanamatusi sana😁
Hata yeye mnamtukana kuwa kafiri... ma didy vumilieni ni tit for tat

USSR
 
Ukiwa CCM ukamatiki KABISA tena ya sasa ndio hatari unafanya utakavyo tu
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa.

Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao wanalaumu serikali na amewatukana tusi la nguoni.

Kwakuwa sheria za nchi ziko wazi kuwa kutukana ni kosa linaloweza kukuingiza matatani, ni lazima watanzania tufahamu kuwa sheria HAZIWAHUSU WANA CCM WANAOMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SULUHU HASSAN hivyo tuache kulalamika na TCRA pamoja na jeshi la polisi halina meno kwa kundi hilo.

Hongera sana Diamond, wewe ni Shujaa unayeogopwa sana na mamlaka za nchi hii.
Labda na yeye ana immunity.... untouchable.
 
Hivi hii video ni kweli jamaa alikuwa anatoka USA? kwenye ile safari alikwenda kumuona Didy?
 
Ila ndani yake kuna KAUKWELI🤣🤣😀dogo DAI kawachana.
Wenye akili nusu tu ndio watawaza kama wewe. My friendi jua tu sio kila aliefanikiwa kapambana. Abdul amepambana wapi?.
Sio kila masikini ni mbovu. Wapo watu wanapiga kazi kuanzia asubuhi mpaka jioni lakini bado mazingira yanamuacha bado akiendelea kupambana na kuwa masikini. Kupambana kwenye serikali za kiafrika mpaka ulambe viatu vya watawala.
 
Diamond kafikia kutuita sisi watanganyika ni minduku tu 🙄🙄 kweli PDIDDY kamualibu kijana ndiyo maanaxwatu wanasemaga mashoga wanamatusi sana😁
Kama kweli umekasirika, acha kumfollow
 
Back
Top Bottom