Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa.
Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao wanalaumu serikali na amewatukana tusi la nguoni.
Kwakuwa sheria za nchi ziko wazi kuwa kutukana ni kosa linaloweza kukuingiza matatani, ni lazima watanzania tufahamu kuwa sheria HAZIWAHUSU WANA CCM WANAOMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SULUHU HASSAN hivyo tuache kulalamika na TCRA pamoja na jeshi la polisi halina meno kwa kundi hilo.
Hongera sana Diamond, wewe ni Shujaa unayeogopwa sana na mamlaka za nchi hii.