Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hahahaaa, kwahiyo unamuunga mkono kusema kmmk zako?U K W E L I U N A U M A
Ccm ni boss wa jeshi la polisi.Hii mi ya polisi
Ccm hahusiki
Jamaa amekubali kwa vile mtukanaji ni mtu maarufuHahahaaa, kwahiyo unamuunga mkono kusema kmmk zako?
Diamond kafikia kutuita sisi watanganyika ni minduku tu 🙄🙄 kweli PDIDDY kamualibu kijana ndiyo maanaxwatu wanasemaga mashoga wanamatusi sana😁Weka hiyo video
Kwani ukifungua kesi wewe shida itakuwa wapi BAVICHA mlifunzwa kulalamika tu mpo mpo tu kama makalaiMamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa.
Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao wanalaumu serikali na amewatukana tusi la nguoni.
Kwakuwa sheria za nchi ziko wazi kuwa kutukana ni kosa linaloweza kukuingiza matatani, ni lazima watanzania tufahamu kuwa sheria HAZIWAHUSU WANA CCM WANAOMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SULUHU HASSAN hivyo tuache kulalamika na TCRA pamoja na jeshi la polisi halina meno kwa kundi hilo.
Hongera sana Diamond, wewe ni Shujaa unayeogopwa sana na mamlaka za nchi hii.
Hata yeye mnamtukana kuwa kafiri... ma didy vumilieni ni tit for tatDiamond kafikia kutuita sisi watanganyika ni minduku tu 🙄🙄 kweli PDIDDY kamualibu kijana ndiyo maanaxwatu wanasemaga mashoga wanamatusi sana😁
Labda na yeye ana immunity.... untouchable.Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa.
Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao wanalaumu serikali na amewatukana tusi la nguoni.
Kwakuwa sheria za nchi ziko wazi kuwa kutukana ni kosa linaloweza kukuingiza matatani, ni lazima watanzania tufahamu kuwa sheria HAZIWAHUSU WANA CCM WANAOMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SULUHU HASSAN hivyo tuache kulalamika na TCRA pamoja na jeshi la polisi halina meno kwa kundi hilo.
Hongera sana Diamond, wewe ni Shujaa unayeogopwa sana na mamlaka za nchi hii.
Wenye akili nusu tu ndio watawaza kama wewe. My friendi jua tu sio kila aliefanikiwa kapambana. Abdul amepambana wapi?.Ila ndani yake kuna KAUKWELI🤣🤣😀dogo DAI kawachana.
Kama kweli umekasirika, acha kumfollowDiamond kafikia kutuita sisi watanganyika ni minduku tu 🙄🙄 kweli PDIDDY kamualibu kijana ndiyo maanaxwatu wanasemaga mashoga wanamatusi sana😁