TCRA na Jeshi la Polisi Waogopa Kumchukulia Hatua Diamond Platnumz kwa Kutukana Hadharani

Hata BASATA wamejifanya kufunika kombe.....
 
Kwani ukifungua kesi wewe shida itakuwa wapi BAVICHA mlifunzwa kulalamika tu mpo mpo tu kama makalai

USSR
Kwenye mahakama ya nani, mahakama hazifanyii kazi kesi dhidi ya CCM na watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…