Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Hizi ni akili ndogo sana maana hata wale wa tuma kwenye namba hii nao walipewa access na hiyo mitandao? Mbona ukwenda kuwashitaki?Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.
Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Hao wote waliopelekewa hizo SMS na Rais Magufuli, KWA TAARIFA YAKO, ni WANACHMA WA CCM. Hizo namba hazikutoka TCRA wala kwingine kokote bali ni kwenye DATA BANK ya wanachama wa CCM huko Makao Makuu. Labda nikujulishe kuwa wanachama wote wa CCM wana kadi za elektroniki hivyo taarifa zao zote zipo. Hicho ndiyo chanzo cha hizonamba za simu siyo TCRA.
Mkuu meza mate aisee. Maana umetiririka sana yaani.Hao wote waliopelekewa hizo SMS na Rais Magufuli, KWA TAARIFA YAKO, ni WANACHMA WA CCM. Hizo namba hazikutoka TCRA wala kwingine kokote bali ni kwenye DATA BANK ya wanachama wa CCM huko Makao Makuu. Labda nikujulishe kuwa wanachama wote wa CCM wana kadi za elektroniki hivyo taarifa zao zote zipo. Hicho ndiyo chanzo cha hizonamba za simu siyo TCRA.
Kateka makampuni ya simu ili yatoe database ya wateja wao kisha watawanye pop up messages...ni kosa kwa mujibu wa sheria .Natamani Lissu apige mkwara haya makampuni.
Sasa mkuu wewe unalalamika kutumiwa meseji au kutajwa jina?TATU MZUKA huwa wanakuandikia mpaka jina lako?
Yani unachukua taarifa zangu halafu unampa mtu mwingine huoni kama huo ni upuuzi?
Hizo T & C's zipo kwa ajili ya mteja na kampuni ya simu, unapompa third party taarifa zangu hiyo ruhusa umeipata kwa nani? wanasema unapokuwa umewapa idhini wabia wao wanaweza kutoa taarifa zako, sasa ni nani amewapa Vodacom Tanzania idhini ya kutoa taarifa zangu kwa CCM (wabia wao) wakati mimi mtumiaji sijawapa hiyo idhini?
Hao Vodavom ndio maana wakati fulani watu walitupa line zao, kwasababu ndio wa kwanza kujipendekeza kwa CCM.
Sio makosa mkuu. Kosa liko wapi bainisha basi. Mbona mnaamua kipi sahihi na kipi sio sahihi kutokana na intuition tu na sio sheria wala hakiHata wakimpa yeye bila ridhaa ya wateja ni makosa
Third party haijachukua data zako hapo. Kilichotokea hapo ni Ccm wamesubmit tangazo lao Vodacom au mtandao mwingine na kuawaambia tangazo liende kwa watanzania ni kama unavotoa tangazo lako Facebook au Instagram wao hawakupi data za watumiaji wake wala nini utabainisha tu tangazo hili liende kwa singles, au under 20's, lakini hupewi data zozote za watumiaji.Yani unachukua taarifa zangu halafu unampa mtu mwingine huoni kama huo ni upuuzi?
Hizo T & C's zipo kwa ajili ya mteja na kampuni ya simu, unapompa third party taarifa zangu hiyo ruhusa umeipata kwa nani? wanasema unapokuwa umewapa idhini wabia wao wanaweza kutoa taarifa zako, sasa ni nani amewapa Vodacom Tanzania idhini ya kutoa taarifa zangu kwa CCM (wabia wao) wakati mimi mtumiaji sijawapa hiyo idhini?
Hao Vodavom ndio maana wakati fulani watu walitupa line zao, kwasababu ndio wa kwanza kujipendekeza kwa CCM.
Kesi haiwezi kufanikiwa labda tu...Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.
Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Nimezungumzia moja ya T & Cs zilizopo hapo kwenye hiyo menu ya voda wewe unajibu taarabu zako, unaniambia third party hawajachukua data zangu hapo! sasa kama hawajachukua hizo data hayo majina ya wateja wa Voda CCM wameyatoa wapi?! wacha ujuaji wa kishamba.Third party haijachukua data zako hapo. Kilichotokea hapo ni Ccm wamesubmit tangazo lao Vodacom au mtandao mwingine na kuawaambia tangazo liende kwa watanzania ni kama unavotoa tangazo lako Facebook au Instagram wao hawakupi data za watumiaji wake wala nini utabainisha tu tangazo hili liende kwa singles, au under 20's, lakini hupewi data zozote za watumiaji.
Na hivi ndivyo ads hua zinafanyakazi
Ndio tuna haki ya kuhoji ila watanzania tuacheni ushamba.
Unaona jina la mtu ni kitu kidogo?Sasa mkuu wewe unalalamika kutumiwa meseji au kutajwa jina?
Na kwenye T&C pale wameandika hadi anuani yako wanaweza kutumia... na zote ni data zako. Mbona unatapatapa aise
Hivi facebook account yangu mtu anaweza weka tangazo lake kama sija-share nae?Third party haijachukua data zako hapo. Kilichotokea hapo ni Ccm wamesubmit tangazo lao Vodacom au mtandao mwingine na kuawaambia tangazo liende kwa watanzania ni kama unavotoa tangazo lako Facebook au Instagram wao hawakupi data za watumiaji wake wala nini utabainisha tu tangazo hili liende kwa singles, au under 20's, lakini hupewi data zozote za watumiaji.
Na hivi ndivyo ads hua zinafanyakazi
Ndio tuna haki ya kuhoji ila watanzania tuacheni ushamba.
Mkuu kwa utawala huu ni chombo gani kinaweza kujionyesha kuwa kinamuunga mkono mgombea wa upinzani na kikabaki salama? Ona hata vyombo vya habari vinavoogopa kurusha/kuandika habari za upinzanikwa kuongezea kibaya zaidi, inaonekana institution nyingi haziko tayar kutawaliwa na chadema, ina maaana hata kama akichaguliwa kuna watu watamfanyia figisu kwenye serikali yake kwa sababu kuna watu ndan ya serikali simply hawampendi, tuseme uchaguzi huu chadema hawajapewa contribution ya kutosha kutoka vyombo vinavohusika, hata NEC yenyewe kwa upande flan washaona cdm ni kopo, na mashirika mengine kama TBC ingawa mbowe alikuja kuwaomba raadhi lakini mjirekebishe, bila kusahau polisi! upinzani uliopita ukiachana na kua hawapo ccm walipewa nguvu sawa, mfano kurusha matangazo yao, na hawakuwekewa vikwazo vyovyote ingawa kule kupigana pigana palikuepo na ikachangia ccm kugawanyika!! kwa politics zenu nadhan mjirekebishe
Unataka kutuaminisha fulani anapendwa na kukubalika kwenye institutions zote??πkwa kuongezea kibaya zaidi, inaonekana institution nyingi haziko tayar kutawaliwa na chadema, ina maaana hata kama akichaguliwa kuna watu watamfanyia figisu kwenye serikali yake kwa sababu kuna watu ndan ya serikali simply hawampendi, tuseme uchaguzi huu chadema hawajapewa contribution ya kutosha kutoka vyombo vinavohusika, hata NEC yenyewe kwa upande flan washaona cdm ni kopo, na mashirika mengine kama TBC ingawa mbowe alikuja kuwaomba raadhi lakini mjirekebishe, bila kusahau polisi! upinzani uliopita ukiachana na kua hawapo ccm walipewa nguvu sawa, mfano kurusha matangazo yao, na hawakuwekewa vikwazo vyovyote ingawa kule kupigana pigana palikuepo na ikachangia ccm kugawanyika!! kwa politics zenu nadhan mjirekebishe
Unataka kutuaminisha fulani anapendwa na kukubalika kwenye institutions zote??π
Raisi pendwa pekee na watu wote ni #RUNGWE.
Everyday is Saturday............................... π
Mkuu kwa utawala huu ni chombo gani kinaweza kujionyesha kuwa kinamuunga mkono mgombea wa upinzani na kikabaki salama? Ona hata vyombo vya habari vinavoogopa kurusha/kuandika habari za upinzani
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app