The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka umeambiwa tumia namba maalumu ya majanga. Taarifa hazizuiwi kutolewa bali ni namna gani?Kwa hiyo mfano nyumba yangu imeungua na nahitaji msaada nampigia Nani simu?,au napiga tcera
Ujinga gani wakati ni utaratibu unawekwa ili tufate. Unaona ugumu gani kufata maelekezo?Hivi mkurugenzi mkuu wa hicho ki tcra ni nani ?
Naona ana ujinga mwingi sana kichwani unaotakiwa kukwanguliwa kabla haujaleta madhara kwa taifa zima
kush and Wisdom
Basi sawaImpact kivip Mshana wakati wewe ukisharipot kwa kufata utaratibu, msaada unakuja chap! Tatzo ni nini?
Haya ni maagizo siyo vitisho Pakawa. Hiv huoni tofauti, unaona shida gani kufata maelekezo?Huu si wakati wa kutishana
Mtajifunza lini kuongoza nchi??!
Mnatoa vitisho hamijui kesho yenu
Neno kukiona maana yake nini?Haya ni maagizo siyo vitisho Pakawa. Hiv huoni tofauti, unaona shida gani kufata maelekezo?
Ha ha ha,mkuu naona hujaelewa,,Mimi nimekutikana na janga,,labda Nina jamaa zangu wanaweza nisaidia,so nikimpigia simu mfano naomba msaada wa malazi,nyumba yangu imeungua,Ni kosa?Kaka umeambiwa tumia namba maalumu ya majanga. Taarifa hazizuiwi kutolewa bali ni namna gani?
Atakayekiuka kukiona.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787].Wakuu Salaam;
[emoji116][emoji116] Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
View attachment 1436129
Hujawahi kuona maelekezo ya kipumbavu ?Ujinga gani wakati ni utaratibu unawekwa ili tufate. Unaona ugumu gani kufata maelekezo?
Kusimama pale kisutuNeno kukiona maana yake nini?
TCRA hawajazungumzia hivyo Elungata, wanezungumzia mazingira kama ya saiv, au iwe ishu serius sana.Ha ha ha,mkuu naona hujaelewa,,Mimi nimekutikana na janga,,labda Nina jamaa zangu wanaweza nisaidia,so nikimpigia simu mfano naomba msaada wa malazi,nyumba yangu imeungua,Ni kosa?
Mkuu hakijatajwa chama hapo bali ni maelekezo kuepuka shari kipindi hiki kulingana na wao.Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787].
Mmewalenga Cdm !! Hata kwenye majanga mnawaandama ?!
Nauchukia sana u communist
Odhis *
nawaza tu labda wanamaanisha kutumia aina flani ya huduma ya kutuma ujumbe wa simu kwa watu wengi kwa mara moja kutumia namba maalum hutumia wanaotangazaKwahio nikipiga ile namba ya umi kutiport janga la mgonjwa nitakuwa nimetenda kosa wakuu
Hichi ndicho walichowaza.nawaza tu labda wanamaanisha kutumia aina flani ya huduma ya kutuma ujumbe wa simu kwa watu wengi kwa mara moja kutumia namba maalum hutumia wanaotangaza
Sasa hiz ni nadharia.Wanalenga ile namba ya chadema ambayo mbowe aliitoa jana...
Wehu hawa
ndiyo wakamkamate hukohuko nje kwani hakuna diplomasia?Wale wako nje. Wanashughulika na watu kama wewe wa ndani
Hii yote ni baada ya Mh Mbowe kutoa ile hotuba kwa hiyo hapa kuna mtu anatafutwa.Jukumu la kutengeneza kizazi chenye uzalendo huwa lipo mikononi mwa serikali wala si wananchi.
Wengi huwa tuna imani serikali hujengwa na kundi la raia wenye elimu mbalimbali ili kusogeza nchi mbele. Ila kama wanatumia elimu zao kufanya upumbavu ni aibu sana kwa Taifa. Serikali acheni kutumia nguvu hizi kwa wateka wasioweza hata kushika jiwe wawarushie.
wehu kweli...Sasa hiz ni nadharia.
Kwenye tangazo lao hawajataja chama cha siasa, bali wametoa tangazo kwa nchi nzima
Kuna watu waoga kama tz..sema tumejazana uwoga tuuu mjini humundiyo wakamkamate hukohuko nje kwani hakuna diplomasia?