TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

Mkuu jipe access ya kurequest nyapu via telegram
 
How tupe mbinu
Kuna vpn ambazo hatakama huna bando unaenjoy tu online... but zina specifc time ya kusurf baada ya kuconnect zingne dk 30 , zingnine dk 15,pia kuna ambazo unatumia free kwa tigo,voda, airtel
Kuna moja natumia niya tigo but voda haikubali wala airtel, kuna nyingine ni airtel tu...
Reason: Hii nchi gharama za bando zipo juu... pia hawa watoa huduma za mitandao wanatupiga sanaa.. kuna siku niweka GB kadhaa aise sikuamini zilipukutika af.......
 
Mnazuia vpn ili watu wasipate spidi kubwa ya mtandao, siyo? au mnalenga kubana uhuru wa watu kupashana habari hasa baada ya kunajisi chafuzi kuu na pale mnapofanya dili zenu za ufisadi watu waogope kuwalipua........kifupi mnataka kufunga watu midomo.​
 
Nitajie hiyo VPN mkuu maana laini ya tigo ninayo. Alafu nataka kujua tcra wanatumia mbinu gani kutukamata Watu tunaotumia VPN.
 
Ka thread kako ka kuinunua jamii forums kamefutwa mkuu kabla hatujacomment.
😁😁😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸƒ πŸ€πŸ˜…πŸ–οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸƒ πŸ€πŸ˜…πŸ–οΈ
Tatizo unawatishia amani wamiliki wakati na wao wanapatiapo kaulaji humohumo😁😁😁😁😁
 
Tatizo unawatishia amani wamiliki wakati na wao wanapatiapo kaulaji humohumo😁😁😁😁😁
Nataka JF wani DM ,niwape mbinu πŸ˜† Lasivyo , Hiyo mipango bado ninayo kwenye notebook
 
wameshindwa kudhibiti bei za bando na matapeli wa tuma katika namba hii sasa wanaanza kuhangaika na VPN, SHAME nchi yenu wadanganyika. Kila mahali uozo viazi tupu kama kina Jafo na Mwigulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…