Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Ni kweli, ila inategemea na usajili wako. Pia, kipindi kinapaswa kuwa na lugha moja (English au Swahili) kwa kuanzia mwanzo hadi mwisho.Tanzania lugha rasmi ni English na Swahili. Hana hana hoja
Kuchanganya lugha mbili katikati ya sentensi ni jambo la kawaida kwenye maisha ya kawaida, ila kwenye tasnia ya utangazaji ni kosa.
Hivyo, TCRA wako sahihi kabisa kwenye hilo.
Ova